Alianza Heri James, sasa ni Gambo na Makonda atafuata

Elimu iliisha kitambo sasa hivi kama una tupesa unajifanya kukaa chuoni kisha unawahonga tu wahadhiri wenye njaa ambao wamejaa mavyuoni kisha unatunukiwa tu cheti.

Hicho ndicho atakacho fanya Bashite kwa sababu akili za darasani hana huyo na wa hivyo wamejaa ktk nchi hii wengine hadi ni ma-profesa kabisa.
 
Kupambana huku akiwa na vyet fek????hakika mataga mtabaki kuwa mataga
Vyeti vyako orijino huku vinaliwa na mchwa na umasikini umekujaa?

Kuwa na akili dogo, mivyeti bila hela ni uchafu
 
kweli lakini
 
Siku zote masikini humuona tajiri kama ni mtu mwizi
Magufuli mwenyewe Shujaa wako alimwambia azirudishe fedha alizoiba Tassaf sasa wewe unataka kusema nini?

Kifutu ni Mwizi
 
Kwahiyo kaenda kusoma masters ili akirudi aje kuajiriwa?? Aliyekuwa mkuu wa wilaya 4yrs akawa Mkuu wa mkoa 5yrs??[emoji28][emoji28][emoji28]
Baadae anaweza kuwa rais wako huyo!

Kwani kuna shida gani siku ukisikia ni balazi katika nchi flani?!

Kuna shida gani siku ukisikia ni mkuu wa shirika flani kubwa la umma?

[emoji23][emoji23][emoji23]Makonda ana akili sana mkuu hakuna bavicha anafikia akili ya Makonda
 
Magufuli mwenyewe Shujaa wako alimwambia azirudishe fedha alizoiba Tassaf sasa wewe unataka kusema nini?
Kwa hiyo point yako hapa ni nini?
. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye orodha umewasahau wengi wakiwemo akina Chalamila, na Gelasius Byakamwa yule alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
 
ushuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…