Alianza Heri James, sasa ni Gambo na Makonda atafuata

Kwahiyo unasapoti Upigaji siyo? ila wengine wakipiga mnasema eti kwa Sababu Shujaa wa Mazezeta hayupo.
Inategemea unapigaje!

Hata Mbowe anapiga hela ila wewe mfuasi wake unapiga miayo kila siku huku ukidemka kumshabikia aendelee kupiga hela.
 
I don't care nani kapiga nini, ninachosema nisikuone unabwabwaja hapa ati kuna Mtu kapiga kwa sababu Shujaa wako wa Mazezet (sina maana kuwa wewe ni Zezeta) hayupo tuko sawia?
Shujaa wa mazezeta ndio nani huyo?

Mtu akipiga hela kizembe lazima tumseme lakini hiyo haimaanishi watu hawapigi.
Lakini tukiwajua tutasema!
 
Ana akili sana huyo!

Unaona anavyoambana? Akija kupata ulaji huko mbele kutokana na juhudi zake hizo za kupata elimu mataahira yataanza kumtukana wakati mwenzenu anapambana kama hivyo huku nyie mnapiga porojo humu mitandaoni.
kama uja jazba hivi.

Punguza munkari.
 
Nakumbuka nikiwa mdogo kama kaka yangu akiwa anachapwa kwa makosa yake mimi nilijitahidi niwe kimya kabisa na kuonyesha sura ya unyonge ili baba asije akakumbuka makosa yangu na kunichanganya kwenye adhabu..sometimes it worked out.
 
Cha ajabu hakuna mp yeyote alieomba kumpa taarifa muongeaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…