CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
siwatumii Alibaba nina itumia kuelewa bei ya vitu,natumia sana TAOBAO,360BUY na amazon,naelewa kuhusu alibaba na nikitaka kufanya nao biashara huenda mwenyewe kiwandani,Mkuu nazani Alipay wametoa condition zote na taratibu za Kufuata, Je Ulisha wahi kuzifuata na Ukaibiwa? Make kama Bidhaa haina Ubora unaweza kufungua madai na ukarudishiwa pesa yako,
Na makosa hufanyika kwa Mumunuzi kuwasilaina na supplier na kumlipa suplier pesa moja kwa moja kwenye personer acount yake, hapo ni lazima ile kwako,
INGAWA MKISHA KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA SUPLIER WAKO UNAWEZA MALIZANA NAE BILA HATA KUPITIA ESCROW kutokana na kwamba hata huko Escrow kuna process ndefu sana, na wako ambao huwasiliana na suplier na kumalizana nae bila tatizo, ila inatakiwa muwe mmesiha fanya biashara naye kwa muda mrefu
siwatumii Alibaba nina itumia kuelewa bei ya vitu,natumia sana TAOBAO,360BUY na amazon,naelewa kuhusu alibaba na nikitaka kufanya nao biashara huenda mwenyewe kiwandani,
Tafuta homepage ya kampuni husika, angalia profile zake i.e ilianzishwa lini,mauzo, wafanyakazi nk; alafu angalia AliBaba anatoa remarks gani kuhusu kampuni hiyo, na kama kuna dispute utachukuwa hatua gani - lakini sitegemei kama hilo linaweza kutokea. Kama mwenzangu alivyo sema usitegemee vitu vinavyo hundwa Uchina viwe na bei kama vinavyo hundwa Ulaya na Merikani. Mimi ndio ushauri wangu.Habari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.
nimekueleza bayana,kuwa siwatumii kufanya biashara online,nawatumia kulinganisha bei na nikitaka vitu huwa nakwenda moja kwa moja viwandani maana nipo hapa.na niwe muwazi ktk hili,nimekutana na wezi wengi sana ktk site hii na waliowengi hawataki uende kuonana nao na kufanya biashara ya ana kwa ana.kila mtu na chaguo lake,anayekwenda huko aende maana utafutaji wa pesa tunatofautiana,wengine hatuna huo muda wa kuendesha kesi za kudaiana na mchina kwa pesa zetu za mawazo,ni bora nikafanya biashara na site yenye uhakika,ili kupunguza sintofahamuKwa hiyo kama huwatumii unanata na wengine wasiwatumie? Kila mtu anachoise yake kulingana na mahitaji yake
nimekueleza bayana,kuwa siwatumii kufanya biashara online,nawatumia kulinganisha bei na nikitaka vitu huwa nakwenda moja kwa moja viwandani maana nipo hapa.na niwe muwazi ktk hili,nimekutana na wezi wengi sana ktk site hii na waliowengi hawataki uende kuonana nao na kufanya biashara ya ana kwa ana.kila mtu na chaguo lake,anayekwenda huko aende maana utafutaji wa pesa tunatofautiana,wengine hatuna huo muda wa kuendesha kesi za kudaiana na mchina kwa pesa zetu za mawazo,ni bora nikafanya biashara na site yenye uhakika,ili kupunguza sintofahamu
Wengine tunao huo Muda wa Kuendesha Kesi na wachina, Ila all in all Kila mahali kuna Risk na una[po sema kesi mbona kuna jamaa zangu tangu waanze kununua alibaba hawajawahi tapeliwa hata siku moja? au kuna Alibaba Mbili?
Ni kweli kuibiwa kupo tena sana na ni kwa mtu kuingia kichwa kichwa na hata mimi ilikaribia kidogo kutapeliwa, Ila ukiwa mjanja wale Matapeli ni Rahisi sana kuwagundua haitaji elimu kuwagundua kuwa hawa ni Matapeli na hawa si matapeli
Na mara Nyingi kwa Matapeli hakuna anaye kubali utumie Escrow na hapo ndo sehemu ya kuwakamatia, na hata kampuni zao unakuta ni hewa hazipo
je umewahi kufanya biashara na kampuni mpya zaidi ya zile umazofanyanazo kazi kwa sasa?
kwa mfano ÌÔ±¦Íø - ÌÔ£¡ÎÒϲ»¶ naweza fanya biashara na mtu yeyote yule na tena sina hata haja ya kutaka kuona nae ana kwa ana,lakini kwa Alibaba ni lazima uwe na uhakika na mtu unayetaka kufanya nae kazi,ni lazima ujenge nae urafiki wa muda mrefu,ni lazima ujiuliza mala mbili mbili la sivyo ina kula kwako.na wafanyabiashara ndani ya alibaba wote wanaelewa kingereza kwa malengo maalumu.kwa sisi wenye account na chartdevice huwa hawataki hatakutona,maana wanaelewa tunawaelewa nini malengo yao
una bahati sana na uendelee kumwomba mungu,maana hawa jamaa hawatabiliki na wanapenda pesa haoooooooooooooooooooo
je umewahi kufanya biashara na kampuni mpya zaidi ya zile umazofanyanazo kazi kwa sasa?
kwa mfano ÌÔ±¦Íø - ÌÔ£¡ÎÒϲ»¶ naweza fanya biashara na mtu yeyote yule na tena sina hata haja ya kutaka kuona nae ana kwa ana,lakini kwa Alibaba ni lazima uwe na uhakika na mtu unayetaka kufanya nae kazi,ni lazima ujenge nae urafiki wa muda mrefu,ni lazima ujiuliza mala mbili mbili la sivyo ina kula kwako.na wafanyabiashara ndani ya alibaba wote wanaelewa kingereza kwa malengo maalumu.kwa sisi wenye account na chartdevice huwa hawataki hatakutona,maana wanaelewa tunawaelewa nini malengo yao
una bahati sana na uendelee kumwomba mungu,maana hawa jamaa hawatabiliki na wanapenda pesa haoooooooooooooooooooo
Unacho sema ni kweli Ila ndo kama hivyo ni Lazima na mumuzi mwenyewe Uchukue Tahadhari zote, Ila kama Ni kampuni ya Ukweli haiwezi kukutapeli hata siku Moja make China Sheria za Utapeli ni Mbaya mno na wanaweza Ishia Kunyongwa, make wale jamaa hawacheki,
Naomba unifafanulie.Mb one, Alipay na aliexpress ni hao hao yaani hapo sielewi kwa nini yanatumika majina yote hayo mawili kwa kitu kile kile, mimi nilipokuwa nashughulikia mzigo wangu nimekutana na maneno hayo lakini isikuchemshe kichwa ni hao hao na sera ni ile ile, wewe weka order yako kupitia Escrow sasa katika form zao ndiyo utaona alipay au aliexpress inajitokeza. Muuzaji halipwi hadi wewe mnunuzi utoe idhini baada ya wewe kupokea nyaraka zinazoonyesha kuwa kweli mzigo wako unakuja.
Nina uzoefu na amazon ni waaminifu, alibaba cjajaribuHabari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.