je umewahi kufanya biashara na kampuni mpya zaidi ya zile umazofanyanazo kazi kwa sasa?
kwa mfano
ÌÔ±¦Íø - ÌÔ£¡ÎÒϲ»¶ naweza fanya biashara na mtu yeyote yule na tena sina hata haja ya kutaka kuona nae ana kwa ana,lakini kwa Alibaba ni lazima uwe na uhakika na mtu unayetaka kufanya nae kazi,ni lazima ujenge nae urafiki wa muda mrefu,ni lazima ujiuliza mala mbili mbili la sivyo ina kula kwako.na wafanyabiashara ndani ya alibaba wote wanaelewa kingereza kwa malengo maalumu.kwa sisi wenye account na chartdevice huwa hawataki hatakutona,maana wanaelewa tunawaelewa nini malengo yao
una bahati sana na uendelee kumwomba mungu,maana hawa jamaa hawatabiliki na wanapenda pesa haoooooooooooooooooooo