[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hili tango pori vipiiiii!???
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli lakini najikaza kiume, nategemea siku mafanikio/kipato kikiongezekaa nami ndio nitaongeza tukijaaliwa
Hata kidumu haiwezekani nafasi ishazibwaLabda awe kidumu kama atakubali[emoji23] [emoji23]
Hapo sawa![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli lakini najikaza kiume, nategemea siku mafanikio/kipato kikiongezekaa nami ndio nitaongeza tukijaaliwa
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Hapo sawa!
Swali la uzushi je wewe unaweza wapenda wanawake 2 au zaidi sawasawa!!?
Vipi utatumia mbinu zipi kuwafanya waishi kwa maelewano na upendo?
Sema tu sina tabia za miss chagga maana hata yeye walishawahi tayali lakini ukiangusha walet lazima mtoto wa kichaga aione [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Washawahi wadau long long time ago
Bahati mbaya hakuwahi kuniuliza kuhusu hali yangu ya kindoa[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120]
Tena viwiliKumbe kidumu cha maji kishapatikana yani kipo[emoji23] [emoji23]
Ukijibiwa niite[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hili tango pori vipiiiii!???
Ni vyema umuweke wazi maana baadae inaweza kuleta mtafarukuBahati mbaya hakuwahi kuniuliza kuhusu hali yangu ya kindoa
Wengine watachambua zaidi hapa!Unaweza kuwapenda hadi wanawake wanne, lakini tu ikiwa utafuata misingi ya kidini. Na wao ikiwa wameiridhia misingi hiyo basi wataishi kwa maelewano na upendo
Labda pesa za kujaza diaba mkuu na ziwe ni noti nyekundu tu za kitanzaniaSema tu sina tabia za miss chagga maana hata yeye walishawahi tayali lakini ukiangusha walet lazima mtoto wa kichaga aione [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zipo mai wewe tuLabda pesa za kujaza diaba mkuu na ziwe ni noti nyekundu tu za kitanzania
Amenijibu angalia post 141Ukijibiwa niite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sebo oyagala chi!!! Amaizi???Hata viwe kumi ilimradi niwepo poa kabisa si kwa maj...Yale motomoto!
Anajua kama nina mke, bahati nzuri nilimweka wazi, ni mchepuko lakini sio wa kingono sana sana ni kufarijiana tu.Wengine watachambua zaidi hapa!
Umesema una mpenzi jf anajua kama una mke? Na bado amekupokea kwa matarajio yepi hayo ya kuwa mke Wa 2 au mchepuko na id yake ni ipi?
Haya mwanakaZipo mai wewe tu