Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Hili tango pori vipiiiii!???

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli lakini najikaza kiume, nategemea siku mafanikio/kipato kikiongezekaa nami ndio nitaongeza tukijaaliwa
 
Hapo sawa!
Swali la uzushi je wewe unaweza wapenda wanawake 2 au zaidi sawasawa!!?
Vipi utatumia mbinu zipi kuwafanya waishi kwa maelewano na upendo?
 
Unaweza kuwapenda hadi wanawake wanne, lakini tu ikiwa utafuata misingi ya kidini. Na wao ikiwa wameiridhia misingi hiyo basi wataishi kwa maelewano na upendo
 
Wengine watachambua zaidi hapa!
Umesema una mpenzi jf anajua kama una mke? Na bado amekupokea kwa matarajio yepi hayo ya kuwa mke Wa 2 au mchepuko na id yake ni ipi?
 
Anajua kama nina mke, bahati nzuri nilimweka wazi, ni mchepuko lakini sio wa kingono sana sana ni kufarijiana tu.
Kuhusu ID yake naipenda kuificha ila nikipata idhni yake nitaiweka wazi.
 
Back
Top Bottom