Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Kwa kuongezea, tena walijifunza COLONIAL ENGLISH sio sie tume download na apps ya google translate unaandika neno huku una lihakiki
kweli kabisa mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuongezea, tena walijifunza COLONIAL ENGLISH sio sie tume download na apps ya google translate unaandika neno huku una lihakiki
Ongea kuhusu yaliyomo kwenye habari, kama hujui, kiingereza ni lugha ya kufundishia toka mtu anapojiunga na sekondari....kwa hiyo hamna kitu cha ajabu katika kutumia kiingereza...Kuzungumza lugha za wenzako siyo kwamba una maarifa zaidi au ndo kwamba una hoja zaidi kwenye masuala unayoyazungumza. Kiingereza ni LUGHA kama LUGHA yoyote ile.
Believe earnestly? U mean honestly?
Msukure = MsukuleHawa UKAWA wamevurugwa. Utadhani wamechukuliwa Msukure. Manake hawajielewi wala hawafikiri..wao ni kufuata kila wanachoambiwa bila ya kutumia akili zao. Huu si ni sawa na Msukure tuu.
Agenda ya vijana ni ajira zenye staha..siyo Mabadiliko ya rangi za mavazi ya watawala.. Only Magufuli ndo ana mipango bora ya ajira kwa vijana.
Huyu Mwapachu ambaye aliiba shirika la ndege na kuliua ndio mnaona naye ni kiongozi. Watanzania tuna kazi kubwa kama mawazo yetu yanaishia kwa hawa muflisi ambao wanatafuta ulaji kwa kila njia. Phew!
Mi siongei chochote as long as kile kikadi cha kupigia kura ninacho, naamini 25/10 itanikuta nikiwa hai. Siku hiyo lazima nijitendee haki.
Mwaka jana wengi tusingemwelewa, ametoa maoni muda muafaka baada ya kuona uchaguzi ni kati ya leader na managerMbona hakuyasema haya siku zote kama kweli yeye anaguswa na maisha ya watanzania?
ameishiwa kabisa. Leo anakosoa wenzake hali ya kuwa yeye hana historia yoyote kwenye maisha ya watanzania toka ujana wake mpaka leo amekuwa mzee amekuwa ni mtumishi wa serikali kwa vyeo mbalimbali.
Anataka tu kujitafutia ulaji kwa fikra zake kama ikitokea UKAWA wameshinda. Hana lolote. Haya maoni yake mbona hakuyatoa kabla ya julai au mwaka jana.? TAFAKARI VEMA.