Kidney stones!Anaumwa nini?
Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!Kidney stones!
Share na wana hicho alicho sema mkuuHiki kichwa kipone haraka!
2014 nilihudhuria fursa iringa nilikuwa form 3 kunakitu jamaa alisema.
Kimenifanya nisiwe tegemezi mpaka Leo
Get well soon ruge
Sumu chezea DAB weweAnaumwa nini?
Pale waliomwekea sumu wanapomuombea,unafiki mtupu![emoji34][emoji34][emoji34]
Taahira mwenzangu, KIDNEY na moyo wapi na wapi? Na mbona unaugua sana na fedha hadi unakosa staha?Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.
Ilipofikia ni serious issue mzeeJakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.