Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
1543222799065.png


Hata sisi tunakuombea Ruge Mutahaba - Get Well Soon!
 
Tunamuomba Mungu amponye na ampe afya njema ili aendelee na shughuli zake,binadamu tumeumbiwa maradhi na sometimes hii ni mitihani tu ya mwenyezi Mungu ili kutukumbusha kua yeye yupo na ni yeye pekee wakumtegemea,

Get well soon brother.
 
Back
Top Bottom