Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Alishanichota nilijua kweli hapo jakaya wanatibu figoTaahira mwenzangu, KIDNEY na moyo wapi na wapi? Na mbona unaugua sana na fedha hadi unakosa staha?
Bashite is behind the movie;we know it, you know it and they know it!
Inasemekana but ukimwangalia DAB anaonekana kabisa hii dhambi hayumoPale waliomwekea sumu wanapomuombea,unafiki mtupu![emoji34][emoji34][emoji34]
Bashite is behind the movie 100 percent!!Inasemekana but ukimwangalia DAB anaonekana kabisa hii dhambi hayumo
May be coz conspiracy theories zinasemaBashite is behind the movie 100 percent!!
Sugu?Kidney stones!
na wimbo wa mwanangu keagan aliutunga yeye_DABInasemekana but ukimwangalia DAB anaonekana kabisa hii dhambi hayumo
Sijakusoma Mine eyesSugu?
Mkuu watu wengi wangekuwa na uwezo wangeenda kutibiwa nje, chukulia case ya Ommy Dimpoz alichokuwa anaambiwa na kutiwa na hospitali za hapa. Kuna mdada walishawahi kuanza kumpiga mionzi ya kuua cell za kansa mpaka nywele zake zikaanza nyonyoka ndugu zake walipompleka India kumbe dada hata hana kansa ya ziwa kama walivyodai na hapo kumpeleka India ni pale walipotaka kumkata ziwa ndugu zake wakawa hawako tayari. Lilikuwa kumbe tatizo dogo hakulazwa alipewa tu dawa akaambia ni tatizo dogo na alirudi akapona.Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.
Mbona ni mgonjwa siku mingi tu na anaumwa T.H.T feverAnaumwa nini?
Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.
Pale waliomwekea sumu wanapomuombea,unafiki mtupu![emoji34][emoji34][emoji34]
Human beings are dangerous creatures me included!
Rafiki bado ukisex unaumia?[emoji16][emoji16][emoji16]Nilifundishwa na mwalimu wangu kuwa mtu mnafiki usimuamini hata siku moja hata kama anakuambia ukweli! Lissu wamempiga risasi wanakesha na kuomba afe lkn wanamuomba Mungu huyo huyo amponye Ruge, maombi haya ni feki hayatapokelewa! Mungu wetu hayuko double standard!