Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.
Mkuu watu wengi wangekuwa na uwezo wangeenda kutibiwa nje, chukulia case ya Ommy Dimpoz alichokuwa anaambiwa na kutiwa na hospitali za hapa. Kuna mdada walishawahi kuanza kumpiga mionzi ya kuua cell za kansa mpaka nywele zake zikaanza nyonyoka ndugu zake walipompleka India kumbe dada hata hana kansa ya ziwa kama walivyodai na hapo kumpeleka India ni pale walipotaka kumkata ziwa ndugu zake wakawa hawako tayari. Lilikuwa kumbe tatizo dogo hakulazwa alipewa tu dawa akaambia ni tatizo dogo na alirudi akapona.
Kuna rafiki yangu mdogo wake alizaliwa akiwa na jicho kama limevilia damu, hospital wakasema ana kansa walitoe, sema wakaamua kumpeleka Nairobi. Huko wakaambiw hata tatizo ndivyo lilivyo, napokwambia haya leo ni zaidi ya miaka 10 mtoto hana tatizo leo hii angekuwa chongo kama wasingekuwa na ela.
Hivyo kwa walio wengi ingekuwa watu wana pesa ya kutosha wangekwenda nje.
 
View attachment 946480

Hata sisi tunakuombea Ruge Mutahaba - Get Well Soon!

It is funny...how a human beings can force God to change his mind for some random human being who is sick!

Maajabu kweli!

Kusali/kuomba/maombi ni kupoteza muda....!

Wakristo are the most confused people to ever appear on earth!.....Anasema mungu keshapanga kila kitu tangu kuumbwa kwa dunia,then he turns around and beg him to change his mind on something for his own selfish reason!

Human beings are dangerous creatures me included!
 
Angetibiwa hapa ila tatizo anaogopa kale kajamaa kanakotumia nguvu ya watu wasiojulikana
Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.
 
Pale waliomwekea sumu wanapomuombea,unafiki mtupu![emoji34][emoji34][emoji34]

Nilifundishwa na mwalimu wangu kuwa mtu mnafiki usimuamini hata siku moja hata kama anakuambia ukweli! Lissu wamempiga risasi wanakesha na kuomba afe lkn wanamuomba Mungu huyo huyo amponye Ruge, maombi haya ni feki hayatapokelewa! Mungu wetu hayuko double standard!
 
Rafiki bado ukisex unaumia?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom