Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Mungu ni mwema atamponya...... kma alivyomfanyia kwa Tundu Lissu,Harison Mwakyembe Mungu wetu atafanya pia kwa Ruge... hivi Zamaradi ameshaweza kwenda kumwona......... nadhani ni baba watoto wake.
 


Mkuuu.......

Hahahahahahaa.....spare my ribs bana December inaanza nataka kwenda Moshi kula mbuzi!
 
Kwenye hiyo picha namwona bashite kwa nyuma ya jamaa apo,
 
Apone kwasabb sio car akiwa mgonjwa. Lkn hii iwe funzo kwake kwamba ipo nguvu zaidi ya nguvu zake za fedha ama watu. Hivyo aww mtu wa kutenda haki na sio kuonea wanyonge
Binadamu akiwa na chuki hata kwa mgonjwa anayepigania uhai wake huyu kanyimwa uchawi tu angemmaliza kabisa
 
Nchi ya wanyonge hasa masikini.

Kwa nini yeye?

Why the endless state house attention?

And $20,000 of state money? Hana bima? Hela zake za Clouds huwa zinaenda wapi, anagawa?

Kuna wagonjwa wangapi dakika hii wanakufa without a smidgeon of attention? Kwa kukosa milioni 5 za dawa za Chemo?
 
DAB nae anahusika kwenye hili kwani?
 
Sawa.utavuna unachokipanda
 
Kiranga anasemaje katika hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…