Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda

yani ni halali kumtukana na kumkashifu Mbowe, lakini ukimsema vibaya Lissu unakauwa ni mtu mmbaya.
 
Huyu Ntobi ndio nani?
 
Mbona nyie wavimba macho huwa mnatukana viongozi kwa kusingizia demokrasia?Kaguswa mtu wenu mnalalama?Tena hajatukanwa kaambiwa hawezi kuongoza hata mtaa.
Ukiishi kwenye nyumba ya vioo jitafakari usitupe mawe.
 
Naunga mkono hoja.Unakua kiongozi wa chama alafu unachagua upande kimihemko tena mitandaoni.
Hata wewe una upande ndio maana umepandwa na jazba mgombea wako kukandwa.
 
yani ni halali kumtukana na kumkashifu Mbowe, lakini ukimsema vibaya Lissu unakauwa ni mtu mmbaya.
Mbowe ametukanwa na kiongozi Gani wa chadema? Kile kilichofanyika na ntobi na yeriko ni vijembe na kejeli dhidi ya makamu wa chadema.Sijui nidhamu ikoje huko chadema
 
Mbowe ametukanwa na kiongozi Gani wa chadema? Kile kilichofanyika na ntobi na yeriko ni vijembe na kejeli dhidi ya makamu wa chadema.Sijui nidhamu ikoje huko chadema

anatukanwa na nyinyi wafuasi wa Lissu
 
Hakuna kuna mtu aliyekuaikilia akili kila mtu anamtazamo wake
Kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilituwekea Mtu Bosheni agombee Uraisi kwasababu anauwezo wa Kuropoka sasa ni kutukosea sana sisi Wananchi wa Tanzania ambao ndio Wapigakura.
 
Kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilituwekea Mtu Bosheni agombee Uraisi kwasababu anauwezo wa Kuropoka sasa ni kutukosea sana sisi Wananchi wa Tanzania ambao ndio Wapigakura.
Kwenye siasa usipende kuchukulia kila kitu serious hasa kipindi cha kampeni
 
Kusema makam mwenyekiti tulimuweka Ili kubishana na jpm ila hawezi hata kuwa kiongozi wa mtaa unaona sio tusi kwa lisuu?? Halafu pia sio tusi kwa lissu ila ni tusi kwa chama chote
Sio tusi hiyo ndo siasa kuna mtu aloyetukanwa kama mbowe angekua anachukulia vitu personal angeumia sana
 
Kingesemwa na kapuku sawa kinasemwa na Kiongozi kwanini nisikichukulie Serious?!
Wapambe wa Kikwete walisema ahmed salim sio mtanzania kitu ambacho ni uongo ila walisema vile kwa sababu wote walikuwa kwenye mtanange wa kugombea tiketi ya urais ndani ya ccm
Hayo ni machache yapo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…