Pre GE2025 Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kijana mwanaume mzima unajadili watu wanaokupambania uwe na kesho nzuri. Hizo 7k unazopewa wewe za uchawa kuna wenzako hawapati. Mbowe anawatetea muwe huru unaleta mambo ya kike. Hatari sana.
Hawa wahamiaji haramu shida sana
 
Unaweza kuta unaye andika hapa kumponda Mbowe wewe na ndugu zako kibao maisha yenu uchumi mbovu kwa sababu ya uongozi mbaya wa ccm.

Lakini unashupaza shingo kwa Mbowe anaye kemea viongozi wanao jiongezea mishahala ,huku wananchi wakiishi maisha mabovu.
 
Angalia hii nguruwe ya CCM inavyojichanganya.
 
Kosa ni kusema tu bila kuweka uthibitisho kupitia salary slip ya mbunge mmoja au wawili.

Je mtu akisema kuwa mtoto wako alimuibia viatu vyake bila kukuonesha ushahidi, wewe utakimbilia kumpiga mwanao kwa kosa la kuiba bila uthibitisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…