Alichofanya Eliya Mtishbi na Tukipasacho Kufanya Dhidi ya Korona: Baada ya Kumwomba Mungu

Kama Mungu alimuidhinisha Magufuli kuwa rais, basi Mungu alikula Rushwa!
Wewe, Mimi na wote humu ni miungu, biblia inasema hivyo. Kwahyo huyo Mungu anayeombwa Ni sisi wenyewe.
 
Nakubaliana na mtazamo wako, wala sipingi ila mtazamo wangu ndio huyo, na hakuna pahala nimetaja uccm wala uchadema!
Nimeona umeandika vizuri lakini hapo kwenye lawama za kuomba nafikiri hazikustahili.

Hata toba ni maombi, tujifunze kupokea yaliyo mema na kuingia kazini badala ya kutafuta fursa za lawama tu.

Mh Rais ameomba hizi siku tatu zitumike kumuomba Mungu, ni wito mzuri tupokee na kufanyia kazi.

Wengine wanasema maombi hayatosaidia bila kujikinga, ni kweli na Mh Rais hajasema tuache hizo tahadhari na tuombe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi story ndefu sana kama hizi huwa unaamini watu wote wanaisoma, muwe mnaziweka kwa kifup akseh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa weledi mkubwa, bravo Mr.
Tatizo ni kwamba, serikali hii imejaaa wapambeeee!!

Mbinu za kitaalamu, hazifuatwi ila utaona kina bashite ndo wanapiga porojo nyingiiii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inaonekana inaogopa kusitisha mikutaniko kwenye nyumba za ibada ndio maana wanadai wamesitisha madrasa na Sunday school huku ikitaka ibada ziwe fupi kumbe hata ibada zikiwa fupi maambukizi yanaweza kutokea tu.
Chini ya dakika 45 za ibada maambukizi hayawezi kutokea yatakuwa yamedhibitiwa, mzambukizi hutokea watu wakikaa pamoja kwa zaidi ya dakika 45.
 
Serikali ndiyo inatakiwa itangaze lockdown,,wafanyakazo hawawezi kuamua kubaki nyumbani kwani watapoteza ajira zao. Dunia nzima baada ya janga la Corona lockdown zimetangazwa na serikali,so usilaumu watanzania kwamba kwanini hajifungii majumbani mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lockdown Ni hatua ya mwisho huko, tukiachana na lockdown je barakoa zinavaliwa, mikusanyiko isiyo lazma Kama vile harusi, kitchen part, birthdays, nk. Inaepukwa???

Tuacheni mentality ya kulaumu kila kitu kuilaumu serikali wakati wenyew vingi tunauwezo navyo.
Kuna vitoto vingi vinacheza mpira humu mitaani, nao wanaogopa kupoteza nn wasipocheza??
Lockdown si kitu rahisi mkuu kwa Maisha ya bongo. Tuchukue tahadhari lawama tuache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…