Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Mkuu huoni timing aliyoitumia ilikuwa na Lengo la kuihujumu utopolo? Kwann asingesubili jumatatu baada ya mchezo wao wa kesho ndio akawalima barua pamoja na huo mpunga wao?Hatutakaa tuendelee kwa kulogana...wamwache ajaribu huko bahati yake..akiona hakumfai atarudi..mbona Morrison amerudi tena??
Iyo kazi ya kumuadhibu mpeni Paul Pogba awasaidie . Ni professional kwa uloziNitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam ambao ni title contenders wenzao.
Yaani timing aliyoitumia kufikisha ujumbe wake sio nzuri kabisa na alilenga kuivuruga timu ya Yanga ukizingatia kesho Azam anacheza na Yanga.
Washabiki na wapenzi wa Yanga wameumizwa sana na taarifa iyo na ivyo kushusha morali ya timu kuelekea mchezo huo na Azam.
Mzee mpili kijana anahujumu timu waziwazi nawewe unamwangalia tu[emoji848][emoji848]
Kazi kwenu utopolo
kwa nini wamuachie kama mkataba unailinda klabu?Hatutakaa tuendelee kwa kulogana...wamwache ajaribu huko bahati yake..akiona hakumfai atarudi..mbona Morrison amerudi tena??
Ishu sio kutaka kuondoka, wakati alioutumia ndio usaliti. Nina uhakika Azam walimtuma afanye hiki kitu hili iwatoe mchezoni YangaKwa
kwa nini wamuachie kama mkataba unailinda klabu?
au mpira ni biashara kwa wachezaji tu?.. klabu hazina maslahi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]
Hivi yana ukweli haya??
Mkuu huoni timing aliyoitumia ilikuwa na Lengo la kuihujumu utopolo? Kwann asingesubili jumatatu baada ya mchezo wao wa kesho ndio akawalima barua pamoja na huo mpunga wao
Tutamloga tu we subiri. (Utani)Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam ambao ni title contenders wenzao.
Yaani timing aliyoitumia kufikisha ujumbe wake sio nzuri kabisa na alilenga kuivuruga timu ya Yanga ukizingatia kesho Azam anacheza na Yanga.
Washabiki na wapenzi wa Yanga wameumizwa sana na taarifa iyo na ivyo kushusha morali ya timu kuelekea mchezo huo na Azam.
Mzee mpili kijana anahujumu timu waziwazi nawewe unamwangalia tu[emoji848][emoji848]
Kazi kwenu utopolo