Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam ambao ni title contenders wenzao.
Yaani timing aliyoitumia kufikisha ujumbe wake sio nzuri kabisa na alilenga kuivuruga timu ya Yanga ukizingatia kesho Azam anacheza na Yanga.
Washabiki na wapenzi wa Yanga wameumizwa sana na taarifa iyo na ivyo kushusha morali ya timu kuelekea mchezo huo na Azam.
Mzee mpili kijana anahujumu timu waziwazi nawewe unamwangalia tu[emoji848][emoji848]
Kazi kwenu utopolo