Alichofanya Feitoto kwa Yanga ni usaliti mkubwa

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam ambao ni title contenders wenzao.

Yaani timing aliyoitumia kufikisha ujumbe wake sio nzuri kabisa na alilenga kuivuruga timu ya Yanga ukizingatia kesho Azam anacheza na Yanga.

Washabiki na wapenzi wa Yanga wameumizwa sana na taarifa iyo na ivyo kushusha morali ya timu kuelekea mchezo huo na Azam.

Mzee mpili kijana anahujumu timu waziwazi nawewe unamwangalia tu[emoji848][emoji848]

Kazi kwenu utopolo
 
Hatutakaa tuendelee kwa kulogana...wamwache ajaribu huko bahati yake..akiona hakumfai atarudi..mbona Morrison amerudi tena??
Mkuu huoni timing aliyoitumia ilikuwa na Lengo la kuihujumu utopolo? Kwann asingesubili jumatatu baada ya mchezo wao wa kesho ndio akawalima barua pamoja na huo mpunga wao?
 
Alichoka maana .....
Screenshot_20221224-223909.jpg
 
Yanga ni kubwa kuliko fei Toto. Alionekana kufanya vozuri kutokana na mfumo wa timu sio individual. Yanga iko imara na kesho azam atakaa.
 
Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam ambao ni title contenders wenzao.

Yaani timing aliyoitumia kufikisha ujumbe wake sio nzuri kabisa na alilenga kuivuruga timu ya Yanga ukizingatia kesho Azam anacheza na Yanga.

Washabiki na wapenzi wa Yanga wameumizwa sana na taarifa iyo na ivyo kushusha morali ya timu kuelekea mchezo huo na Azam.

Mzee mpili kijana anahujumu timu waziwazi nawewe unamwangalia tu[emoji848][emoji848]

Kazi kwenu utopolo
Iyo kazi ya kumuadhibu mpeni Paul Pogba awasaidie . Ni professional kwa ulozi
 
Kwa
Hatutakaa tuendelee kwa kulogana...wamwache ajaribu huko bahati yake..akiona hakumfai atarudi..mbona Morrison amerudi tena??
kwa nini wamuachie kama mkataba unailinda klabu?

au mpira ni biashara kwa wachezaji tu?.. klabu hazina maslahi!
 
Nitawashangaa ndugu zangu wa utopoloni wakishindwa kumwadhibu/ kumloga huyu mchezaji kwa kitendo cha kuwafanyia umafia wakati wakielekea kwenye mchezo wao muhimu wa kufungia mwaka dhidi ya Azam ambao ni title contenders wenzao.

Yaani timing aliyoitumia kufikisha ujumbe wake sio nzuri kabisa na alilenga kuivuruga timu ya Yanga ukizingatia kesho Azam anacheza na Yanga.

Washabiki na wapenzi wa Yanga wameumizwa sana na taarifa iyo na ivyo kushusha morali ya timu kuelekea mchezo huo na Azam.

Mzee mpili kijana anahujumu timu waziwazi nawewe unamwangalia tu[emoji848][emoji848]

Kazi kwenu utopolo
Tutamloga tu we subiri. (Utani)
 
Kijani wa mashoot ya mbali..kama ni kweli watammiss sana
 
Back
Top Bottom