Alichofanya huyu askari kinafanyika sana hapa Tanzania ila askari wa hapa kwetu wanalindwa sana

Hee!! Hii picha kiboko, mjinga Sana huyu askari, hata mtoto mdogo angejua kua akikaa zaidi ya dkka 1 anaua. Shenzi Sana huyu. Picha nilizozoea kuona ni zile zilizo fifia.
 
Daah 😡ingetakiwa 😡wablack 😡ndo tumpe 😡adhabu
 
Angejitetea vipi wakati mikono tayari ishafungwa pingu?!
 
Alikuwa amefungwa mikono nyuma, miguu ipo uvunguni mwa gari, alafu amekewe goti kwa kugandamizwa shingoni! Nyie mashujaa wa keyboard kuna mawili, kama Askari wakipiga tu risasi hewani mtaani kwenu, kujiharishia au kukimbia mpaka ujikute Chalinze!
 
Hapana Mkuu ifike muda pigania uhai wako kwa njia yoyote ile sijui wewe binafsi ila mimi kama mimi natakiwa kujiokoa basi nitafanya kitu aidha nitapoteza au nitashinda ivo Mkuu wangu tufunge mjadala
 
Alikuwa amefungwa mikono nyuma, miguu ipo uvunguni mwa gari, alafu amekewe goti kwa kugandamizwa shingoni! Nyie mashujaa wa keyboard kuna mawili, kama Askari wakipiga tu risasi hewani mtaani kwenu, kujiharishia au kukimbia mpaka ujikute Chalinze!
Kama alivyokimbia Hamorapa siku ile issue ya Nape.
🤣🤣
 
Kwa hapa ni sera ya chama tawala. Kwa Mwendazake ilipewa sana kipaumbele. Hapa kwetu huyo askari angezawadiwa, kwa wenzetu haki inatendeka...anakamatwa, anashtakiwa na anahukumiwa...

View attachment 1830928
mnafanua siasa za kixenge mpaka mnaboa.

askari aue halafu azawadiwe!!!ni akili zenu zimesimama au zimepikwa mkala??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…