Alichofanya Kennedy mna maoni gani?

We ni mdau wa Simba nakujua tuseme ukweli ivi viongoz wa Simba awamuon kijili kweli mbadala sahh kabisa wa kapombe msimu wa 2 huu namfatilia bonge la beki speed, tackling, control vyote ana shambulia Ivi duchu ana mzid nn yule tusem ukweli
Mkuu kuvunja mkataba wake labda ndo ishu,halafu ujue Singida na upande wa pili ni ndugu na ushauri wanapokea kutoka kule ,unadhani utampata kirahisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza zile cross za Kapombe zimebaki kama dk 10 jana ilikuwa ushauri wa kocha au alijiamulia, na ndo zilizoleta madhara, akawa hakimbilii mbele kila akipata mpira anaudondoshea pale pale kwenye 18 ugombaniwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…