Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
- Thread starter
- #41
Mkuu kuvunja mkataba wake labda ndo ishu,halafu ujue Singida na upande wa pili ni ndugu na ushauri wanapokea kutoka kule ,unadhani utampata kirahisi?We ni mdau wa Simba nakujua tuseme ukweli ivi viongoz wa Simba awamuon kijili kweli mbadala sahh kabisa wa kapombe msimu wa 2 huu namfatilia bonge la beki speed, tackling, control vyote ana shambulia Ivi duchu ana mzid nn yule tusem ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app