Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Ukiuliza Pierre ni msanii wa nini, mimi nitakuuliza Steve Nyerere ni msanii wa nini?

Tunachoshangaa ni unafki wa mkuu wa mkoa kumpinga Pierre wakati watu wake wa karibu hawana maadili na wengine ni wapuuzi kumshinda Pierre.

Ni kama baba ambae mwanae ni mwizi, ila hasemi. Anawasema watoto wa familia nyingine.

Kama kweli anayo nia ya dhati ya kulinda maadili, aanze na wanaomzunguka.

NB: vipi kizazi cha kufoji vyeti, chenyewe kinatufaa?

- KANA -
 
Hivi unaringanisha tukio la mtu kubeba makande kwenye foren ya kupiga kura na anacho trend huyo Pierre, mbaona kubeba makande kwenye foreni ya kupiga kura ni news hata mainstream media can take it na ika trend.

Lets take a brake. We need something more serious to take this country to a next stage.



Dumelang
 
Ni baada ya siku chache Makamu wa Rais Mama samia Suluhu kumpongeza msanii maarufu Liquid Pierre kwa kufanikisha ushindi wa Taifa Stars.


Majibu ya Pierre.

View attachment 1058778
Kampeni ya tokomeza zero na aliyoongea bwana msambwada yamedhihirisha zero kwel kwel na wakati anaobgea huo utymbo wazero wengi walicheka kiukwel kati ya alikashfu na aliyekashfiwa mwenye zero hapo ni aliyekashfu hahahaaaa Mr ZERO AMEONYESHA ZERO YAKE TENAAAAA
 
Hapo utajipima mwenyewe katika kundi la Watanzania wapumbavu we uko namba ngapi? halafu pia pima kati ya Pierre na Makonda nani ni wa hovyo hovyo?
 
Ndugu yangu hayo mambo yanahtaji tafakur ya kina co kwa hyo unaemwambia ambaye uwepo wake tu hapo alipo kwa mbeleko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Sio na makonda. Nadhani jana kafanya kitu tu bora kati ya vitu bora bila kujali aliwasilisha vipi lakin deep down ya hii issue tunahtaji kuwa serious kidogo kuwa nakizazi kinachojitambua

Tatizo teknolojia inatupeleka kasi sana kuzidi mahitaji yetu ya wakati husika

Dumelang
 
So, Kenya ndio mfano wetu wa kuigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemuongezea konk umaarufu zaid huyo mr ZERO aka BASHITE
 
Tulia kidogo kwanza. Steve bila kujali ukaribu wake na Makonda nadhani ana muda sana kwenye game na alianza kuigiza sauti za viongozi enzi hizo ikiwepo ya hayati Mwl J. K NYERERE

amea appear kwenye Bongo Movie kadhaa kama muigizaji. So kwa vyovyote anacho kinachompa nafasi kama msanii

Dumelang
 
Huyu jamaa ni housing tu ndio ya kiume ila motherboard yake ni ya kike kabisa, ana wivu na tabia za kike kike, hata dada zangu si kama yeye jamaa ni too much, halafu zero braini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama BBC wamemwona wakampa Airtime ni wasanii wangapi wakubwa hawaujui mlango wa BBC ? Bahati ya mtu usiilalie mlango wazi bwana [emoji16] huyu mtu ni wivu tu umemjaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too late for that mzee, ule ni ushauri tu, hauwez kumshurutisha mtu, yapo mambo mengi ya msingi ya kutufanya tuwe pamoja mfano mzuri ni report ya CAG hiyo ni big thing lakini umeona hata mahali inazungumziwa kuanzia tbc mpaka vyanzo vyote vya serikali. Ukiona wananchi wanapenda hivyo vitu ujue wamechoka na upuuzi na maigizo yanayoendelea
 
Kama BBC wamemwona wakampa Airtime ni wasanii wangapi wakubwa hawaujui mlango wa BBC ? Bahati ya mtu usiilalie mlango wazi bwana [emoji16] huyu mtu ni wivu tu umemjaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu bibi sii hadi Dachi Welle na mdogomdogo anaweza enda hadi si eni eni au kuhojiwa na Steve Sackur
 
So, Kenya ndio mfano wetu wa kuigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
They are serious on issues than us. Tunataka au hatutaki. Kenya ni East African Business Hub.

Kenya wana uchumi mkubwa kuliko nchi yeyote Afrika Mashariki.

Kenya wana safaru yenye Nguvu kuliko sisi. Kenya wanafanya kazi uwezi linganisha na sisi.

Sasa usipojiringanisha na jirani mnaefanana unataka tukajiringanishe na Marekani?

Dumelang
 
Kama BBC wamemwona wakampa Airtime ni wasanii wangapi wakubwa hawaujui mlango wa BBC ? Bahati ya mtu usiilalie mlango wazi bwana [emoji16] huyu mtu ni wivu tu umemjaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia BBC gani? Siku hzi kuna BBC? Hii inayosikika na yenye wasikilizaji Tanzania tu. BBC iliokuwa nyepesi kama uji wa mgonjwa, ambayo kwenye page zake za insta inabishana na wanao comment?

Dumelang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…