- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Ukiuliza Pierre ni msanii wa nini, mimi nitakuuliza Steve Nyerere ni msanii wa nini?Kwahiyo tuendelee kujenga taifa linalojenga watu kama akina Lemutuz, steve nyerere na akina Pierre? Kwamza si bora hata huyo steve nyerere anajulikana ni msanii katika yaifa hili na pengine katika kazi zake alisha na analipa kodi
Huyo Piere ni msanii wa nini? Analiingizia kipi taifa zaidi ya kuwa spoiler
Dumelang
Tunachoshangaa ni unafki wa mkuu wa mkoa kumpinga Pierre wakati watu wake wa karibu hawana maadili na wengine ni wapuuzi kumshinda Pierre.
Ni kama baba ambae mwanae ni mwizi, ila hasemi. Anawasema watoto wa familia nyingine.
Kama kweli anayo nia ya dhati ya kulinda maadili, aanze na wanaomzunguka.
NB: vipi kizazi cha kufoji vyeti, chenyewe kinatufaa?
- KANA -