Acha ufala hiyo ni BBC inasikilizwa africa mashariki na ya kati sio radio uhuru inayosikilizwa Dar es salaamUnazungumzia BBC gani? Siku hzi kuna BBC? Hii inayosikika na yenye wasikilizaji Tanzania tu. BBC iliokuwa nyepesi kama uji wa mgonjwa, ambayo kwenye page zake za insta inabishana na wanao comment?
Dumelang
Na kushusha vinywaji nusu bei ni nini na kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi ni kujenga maadili? Acheni kuhukumu na muache unafiki Mungu ndio ajuae mwisho wa mtu msiingilie uhuru wake na ndo mana tunakosa misaada kwa uchoko kama huo.Ajabu sana
Mtu asiekuwa na faida na jamii,bali ni muharibifu wa maadili
Kisha wanatokea baadhi na kumsapoti
Ni kwa lipi hasa,mpaka aonewe wivu?!!!
Kweli,kuna watu na viatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wewe na ndugu zako msijielekeze kwenye hizo hoja zinazojenga! au ulitaka Pierre aje akushike matako ndio ufurahi?Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Ulitaka iwe tibisii?Unazungumzia BBC gani? Siku hzi kuna BBC? Hii inayosikika na yenye wasikilizaji Tanzania tu. BBC iliokuwa nyepesi kama uji wa mgonjwa, ambayo kwenye page zake za insta inabishana na wanao comment?
Dumelang
Kati ya anayehamasisha pombe kuuzwa nusu bei na anayekunywa pombe na kufurahi kwa starehe zake ni nani mtu wa ovyo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika ulimwengu huu wa social media ...sio Tanzania tuu watu wanapata umaarufu kwa mtu ku post video tuu ikibahatika ku trend inabadilisha maisha ya mtu....wale wanaotumia vizuri hiyo "15 minutes of fame" wanabadilisha maisha yao for good!Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?
Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.
Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.
Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?
kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu
Dumelang
Ongea kiswahili mzeeIn my opinion, RC Makonda has committed a very serious insubordination in relation to the Vice President's fair comments on Pierre's contributions towards Taifa Stars' victory. Nani anayalinda haya,yenye udhalilishaji hata kwa wakuu wetu wa nchi?
Nafikiri inabidi wewe ndio utulie mkuu.Tulia kidogo kwanza. Steve bila kujali ukaribu wake na Makonda nadhani ana muda sana kwenye game na alianza kuigiza sauti za viongozi enzi hizo ikiwepo ya hayati Mwl J. K NYERERE
amea appear kwenye Bongo Movie kadhaa kama muigizaji. So kwa vyovyote anacho kinachompa nafasi kama msanii
Dumelang
kabisa mkuu umeongea point sana hongera unajitambua kama bashiteNdiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?
Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..
Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..
Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?
Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua
Kuna watu wanateseka plus
Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".Ni baada ya siku chache Makamu wa Rais Mama samia Suluhu kumpongeza msanii maarufu Liquid Pierre kwa kufanikisha ushindi wa Taifa Stars.
Majibu ya Pierre.
View attachment 1058778
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi.
Tz wapiganaji hawawezi kuisha kwa sababu Kuna watu wachache wanaopiga picha za uchi, mashoga yapogo tu tangu Enzi hizo japo hatuyapendi. Piere ni mlevi kwa pesa zake huyo anayetaka kuwa kama Piere ni lazima awe na pesa kwanza ndo awe mlevi maarufu. Halafu hajautafuta umaarufu, yeye alikuwa analewa zake umaarufu ndo ukamtafuta. Tukemee mabaya na vitu vya kijinga Ila si kwa kuonyesha chuki kwa mtu moja kwa moja.Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?