Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Unazungumzia BBC gani? Siku hzi kuna BBC? Hii inayosikika na yenye wasikilizaji Tanzania tu. BBC iliokuwa nyepesi kama uji wa mgonjwa, ambayo kwenye page zake za insta inabishana na wanao comment?

Dumelang
Acha ufala hiyo ni BBC inasikilizwa africa mashariki na ya kati sio radio uhuru inayosikilizwa Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu sana

Mtu asiekuwa na faida na jamii,bali ni muharibifu wa maadili

Kisha wanatokea baadhi na kumsapoti

Ni kwa lipi hasa,mpaka aonewe wivu?!!!

Kweli,kuna watu na viatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kushusha vinywaji nusu bei ni nini na kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi ni kujenga maadili? Acheni kuhukumu na muache unafiki Mungu ndio ajuae mwisho wa mtu msiingilie uhuru wake na ndo mana tunakosa misaada kwa uchoko kama huo.
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang
Kwanini wewe na ndugu zako msijielekeze kwenye hizo hoja zinazojenga! au ulitaka Pierre aje akushike matako ndio ufurahi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Pierre Liquid yupo vizuri kwenye kiswahili sanifu inawezekana hajakimbia shule maana kuna wale wenzangu na mie kwenye 'R' wanaweka 'L' full vurugu
 
Unazungumzia BBC gani? Siku hzi kuna BBC? Hii inayosikika na yenye wasikilizaji Tanzania tu. BBC iliokuwa nyepesi kama uji wa mgonjwa, ambayo kwenye page zake za insta inabishana na wanao comment?

Dumelang
Ulitaka iwe tibisii?
 
Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?

Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.

Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.

Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?

kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu

Dumelang
Katika ulimwengu huu wa social media ...sio Tanzania tuu watu wanapata umaarufu kwa mtu ku post video tuu ikibahatika ku trend inabadilisha maisha ya mtu....wale wanaotumia vizuri hiyo "15 minutes of fame" wanabadilisha maisha yao for good!
 
Kiki zake kuchukua mzee wa liquid
Wakisema changu BASHITE
wakisema changu PIERRE
NACHAGUA PIERRE MZEE WA [emoji91][emoji91]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tulia kidogo kwanza. Steve bila kujali ukaribu wake na Makonda nadhani ana muda sana kwenye game na alianza kuigiza sauti za viongozi enzi hizo ikiwepo ya hayati Mwl J. K NYERERE

amea appear kwenye Bongo Movie kadhaa kama muigizaji. So kwa vyovyote anacho kinachompa nafasi kama msanii

Dumelang
Nafikiri inabidi wewe ndio utulie mkuu.

Katika nchi hii ambayo imeshindwa kurusha bunge live badala yake inaonyeshwa mikutano ya CCM huwezi kuzuia vitu vya aina hii.

Kama akina Maalim Seif wanazuiliwa hata radio interviews, unafikiri hizo media zitatuonyesha nini kama sio akina Pierre?

Hizo national issues zitajadiliwa wapi?

Let's not blame this little fella, the whole system is croocked!

- KANA -
 
Nimeona alichozungumza makonda Jana, na hiki ndicho kinachoakisi mawazo ya watawala wetu wengi..

Nini kosa la Pierre "Konki liquid", Amevunja Sheria gani ya nchi?.
Makonda hajui kwamba Pierre ni comedian na anaitumia Sanaa yake kupitia pombe?, Kati ya Pierre na msiba ni nani ni mtu wa hovyo kwa taifa hili?

Makonda, umemkosea Pierre sijui alijisikiaje konki liquid baada ya kudhalilishwa kule na yeye akiwepo, pamoja na kwamba una cheo kumzidi lakini hukupaswa kumdhalilisha vile, ungepaswa kutumia busara na hekima za kiuongozi., Sidhani Kama vituko na media kumtangaza Pierre ndivyo vinavyosababisha kuporomoka kwa maadili na kujenga kizazi Cha hovyo hapa nchini, sio kweli tusimsingizie Pierre ambae anahangaika na ubunifu wake wa kutumia pombe kuutafta mkate wake.

Walikuwepo wasanii akina John walker, utofauti wa Hawa wawili mmoja ni msanii wa music na mwingine comedian.., Kaka makonda unafanya kazi nzuri ila unakosa hekima na busara., Kwa kauli yako ya Jana kampuni nyingi zitasitisha mkataba na huyu bwana unaeenda kumrudisha kwenye umaskini .. hakika hii ni dhambi, huyu hajaiba, hajakwepa kodi na Wala sio mla rushwa, hakustahili udhalilishaji uliomfanyia.

Anyway nyie ndo Aina ya Viongozi mnaotupeleka Tanzania ya viwanda na uchumi wa Kati...Pole kwako konki liquid kwa hili najua wameshakupoteza tayari, ila mungu yupo anaweza kukutoa kivingine.. hakuna ridhiki inayozimwa na binadamu
 
Ndiyo maana nasisitiza Tanzania (Watanzania) tunahitaji kujitathimini upya, kwetu sisi hatujui tunacho kitaka ni kitu gani, walipa kodi wakubwa ni wananchi wa vijijini kwahiyo hao hawana haki ya kupata umeme?

Hiyo project ni ya REA ambayo kwa kiasi flani ni miradi inayo fadhiliwa na World Bank..

Juzi upinzani tulikuwa tunalalamika miaka 50 ya uhuru vijijini hamna umeme haya nyumba za tembe zimeanza kupata umeme mnaanza kulalamika..

Kwahyo mlitaka REA iwe project ya mijini?

Ndiyo maana nasema huyo mpumbafu mlevi anawakilisha idadi kubwa sana Watanzania wajinga wajinga na walevi wasio jitambua
kabisa mkuu umeongea point sana hongera unajitambua kama bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya siku chache Makamu wa Rais Mama samia Suluhu kumpongeza msanii maarufu Liquid Pierre kwa kufanikisha ushindi wa Taifa Stars.

Majibu ya Pierre.

View attachment 1058778

Piere baada ya kulewa umaarufu, akihojiwa na mwandishi wa habari alimwita "taka taka" "we ni taka taka tu".
Leo waandishi wa habari wanapewa nasaha kuachana na Pierre ambaye RC amemtambua kama "mtu wa hovyo hovyo". Karma is Bitch
Japo watanzania bado wako upande wa Pierre, na hii ni bahati isiyo ya kawaida...kumfurahisha mtanzania!....Pierre achukue hii kama alert juu ya namna gani anapaswa kua na adabu na ukarimu pasi na kujikweza kisa tu ni maarufu na anapata deals...watanzania ni species za ajabu sana..watamshusha na kumpuuza hatoamini.
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang

Makonda mwenyewe ni mjinga sababu hata jina analotumia sio lake yeye ni la wizi. Anapata wapi nguvu ya kumkashifu Pierre.
 
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi.

wewe ni mjinga na pia upo ill-informed kuhusu social affairs za kenya.

hebu jaribu kufatilia habari zinazohusu mtu anayeitwa githeriman.

huyu hapa yupo na mtangazaji maarufu wa kenya jeff koinange.
Screenshot_2019-03-31-11-59-26-945_com.instagram.android.jpeg
 
Tuwe fair bana huyo Pierre kachangia nini katika ushindi wa Taifa Stars?

Comment ya Makamu wa Rais isi elevate ujinga tunaofanya Watanzania. Makamu wa Rais alikuwa katika Excitement yani tukio linalojaza furaha. Katika tukio kama lile mtu anaweza ongea chochote. Lakin isiwe sababu kuwa kumtrend Pierre ni jambo zuri.

Hakuna ambacho taifa na vizazi vyetu vinajifunza kwa huyo Pierre zaidi vijana wengi wanahsi kufanya upumbavu ndio sehemu yakuwa maarufu na ku earn cheap money.

Kesho tutawakuza na Mashoga, na vijana wataiga. Kati hapa mmeona walichokuwa wanafanya akina ambaruty, ili tu apate umaarufu, atrend apate pesa. Ndio wapo mabint kibao wanatamami wafanye hayo watrend, yjnajenga taifa gani?

kwa jicho pana tunachofanya ni upumbavu

Dumelang
Tz wapiganaji hawawezi kuisha kwa sababu Kuna watu wachache wanaopiga picha za uchi, mashoga yapogo tu tangu Enzi hizo japo hatuyapendi. Piere ni mlevi kwa pesa zake huyo anayetaka kuwa kama Piere ni lazima awe na pesa kwanza ndo awe mlevi maarufu. Halafu hajautafuta umaarufu, yeye alikuwa analewa zake umaarufu ndo ukamtafuta. Tukemee mabaya na vitu vya kijinga Ila si kwa kuonyesha chuki kwa mtu moja kwa moja.
 
Kuna watu walikuwa hawamjui konk liquid ni nani? Ila baada ya kutajwa jana wameanza kumsearch huyu konk ni nani

Yaani unaweza ukaona unamshusha mtu kumbe nDio unazidi kumpa umaarufu.

Liquid kwa siku ya jana kaongeza folLowers.
 
Back
Top Bottom