Kwanza mwanaume unaitwa Dume langu,alafu tubishane na wewe shogaWewe inakuongezea nini?
Dumelang
Wewe na bashite wako ni wapuuzi tena hamna exposure.sijajua bado kwanini mnafanya personal attack kwa piere. Fanya kama wewe ungekuwa pale ukumbini halafu anatokea mtu kiongoz na kuanza kukushambulia bila sababu ya msingi. Ungejisikiaje kama binadamu.Mnataka taifa lote tuwe walokole? Steve Nyerere ambaye muda wote yuko na bashite(zero) ni msanii wa nini?Hivi unaringanisha tukio la mtu kubeba makande kwenye foren ya kupiga kura na anacho trend huyo Pierre, mbaona kubeba makande kwenye foreni ya kupiga kura ni news hata mainstream media can take it na ika trend.
Lets take a brake. We need something more serious to take this country to a next stage.
Dumelang
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Msanii wa nini mlevi tu
Achana na mpuuzi huyo na bashite/zero wakeNafikiri inabidi wewe ndio utulie mkuu.
Katika nchi hii ambayo imeshindwa kurusha bunge live badala yake inaonyeshwa mikutano ya CCM huwezi kuzuia vitu vya aina hii.
Kama akina Maalim Seif wanazuiliwa hata radio interviews, unafikiri hizo media zitatuonyesha nini kama sio akina Pierre?
Hizo national issues zitajadiliwa wapi?
Let's not blame this little fella, the whole system is croocked!
- KANA -
Anataka apongezwe yeye kwa lipi haswa?Ni baada ya siku chache Makamu wa Rais Mama samia Suluhu kumpongeza msanii maarufu Liquid Pierre kwa kufanikisha ushindi wa Taifa Stars.
Majibu ya Pierre.
View attachment 1058811
View attachment 1058778
Na kushusha vinywaji nusu bei ni nini na kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi ni kujenga maadili? Acheni kuhukumu na muache unafiki Mungu ndio ajuae mwisho wa mtu msiingilie uhuru wake na ndo mana tunakosa misaada kwa uchoko kama huo.
Jina lake official insta ni nani na mm nikafollowKuna watu walikuwa hawamjui konk liquid ni nani? Ila baada ya kutajwa jana wameanza kumsearch huyu konk ni nani
Yaani unaweza ukaona unamshusha mtu kumbe nDio unazidi kumpa umaarufu.
Liquid kwa siku ya jana kaongeza folLowers.
Tusubiri kwa hili maana kwa kauri yake kapingana na makamo wa raisi aliye mpongeza huyo msanii LiquidHuyu mtu anadharau sana. Hata kuna kikao kimoja katika ziara yake ya Dar aliwahi kumkashifu dada mmoja mtendaji wa manispaa kuwa ni kichaa. Ni kiongozi pekee anayeweza kufanya na kusema lolote baya lakini asiguswe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo wake umemtokea puani kwa mujibu wa mtaka sifa
Tumuulize yule mchungaji mmiliki wa chopaNimependa hapo mbele anapoongelea pameandikwa ZERO Sijui alipata nini kwenyemtihani wake wa kidato cha nne na sijui kwanini walimwalika zero kuja kuzungumzia kutokomeza zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo cha chaKati ya anayehamasisha pombe kuuzwa nusu bei na anayekunywa pombe na kufurahi kwa starehe zake ni nani mtu wa ovyo.?
Sent using Jamii Forums mobile app
No wonder wanasema nchi haina furaha,mtu anazalilishwa live na kuna watu walkuaa wanashangilia.Uzalendo wake umemtokea puani kwa mujibu wa mtaka sifa
In God we trust
Wewe na makonda akili zenu sawaHuwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Hata kuwa mlevi ni usaniiMsanii wa nini mlevi tu