Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Swala la punguzo la bei lilikuwa na maana gani adi kumuattack ivi bwana liquidi
 
Hivi unaringanisha tukio la mtu kubeba makande kwenye foren ya kupiga kura na anacho trend huyo Pierre, mbaona kubeba makande kwenye foreni ya kupiga kura ni news hata mainstream media can take it na ika trend.

Lets take a brake. We need something more serious to take this country to a next stage.

Dumelang
Wewe na bashite wako ni wapuuzi tena hamna exposure.sijajua bado kwanini mnafanya personal attack kwa piere. Fanya kama wewe ungekuwa pale ukumbini halafu anatokea mtu kiongoz na kuanza kukushambulia bila sababu ya msingi. Ungejisikiaje kama binadamu.Mnataka taifa lote tuwe walokole? Steve Nyerere ambaye muda wote yuko na bashite(zero) ni msanii wa nini?
 
Makonda kaona jamaa kazungumzwa sana hasa kwenye mechi ya timu ya taifa stars na uganda ,sasa makonda alitaka atajwe yeye aonekane yeye ndio shujaa ,sasa makamu wa rais ,kamtaja piere ndanani ya ikulu ,makonda hicho kimemuumiza ,sababu jitihada alizofanya makonda alafu anatajwa MTU mwingine kwa kusifiwa ,yeye ina muuma ,natabiri IPO siku atatamka jambo wala hamtaamini ,ndio mwisho wa kazi yake hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo wachawi...kama hamtaki umaarufu wa walevi zuieni uuzwaji wa pombe alaf unaroho mbaya yani wewe umejiweka kundi zuri alaf piere umemuweka kundi baya ...unadhan taifa gani hapa duniani halina watu wa aina hiyo ..au unadhan mkizuia ndo mtaendelea??? Think twice badilisheni mifumo sio kusingizia walevi
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri inabidi wewe ndio utulie mkuu.

Katika nchi hii ambayo imeshindwa kurusha bunge live badala yake inaonyeshwa mikutano ya CCM huwezi kuzuia vitu vya aina hii.

Kama akina Maalim Seif wanazuiliwa hata radio interviews, unafikiri hizo media zitatuonyesha nini kama sio akina Pierre?

Hizo national issues zitajadiliwa wapi?

Let's not blame this little fella, the whole system is croocked!

- KANA -
Achana na mpuuzi huyo na bashite/zero wake
 
Unategemea misaada.......

Dah
Na kushusha vinywaji nusu bei ni nini na kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi ni kujenga maadili? Acheni kuhukumu na muache unafiki Mungu ndio ajuae mwisho wa mtu msiingilie uhuru wake na ndo mana tunakosa misaada kwa uchoko kama huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LEO NDIYO MHE RC.atajua kwa nini Mr.Liquid anapewa AIRTIME.....Maana isooooky kwake kila page ni Mr.Piere Liquid kubaki kileleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walikuwa hawamjui konk liquid ni nani? Ila baada ya kutajwa jana wameanza kumsearch huyu konk ni nani

Yaani unaweza ukaona unamshusha mtu kumbe nDio unazidi kumpa umaarufu.

Liquid kwa siku ya jana kaongeza folLowers.
Jina lake official insta ni nani na mm nikafollow
 
Huyu mtu anadharau sana. Hata kuna kikao kimoja katika ziara yake ya Dar aliwahi kumkashifu dada mmoja mtendaji wa manispaa kuwa ni kichaa. Ni kiongozi pekee anayeweza kufanya na kusema lolote baya lakini asiguswe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri kwa hili maana kwa kauri yake kapingana na makamo wa raisi aliye mpongeza huyo msanii Liquid

In God we trust
 
HUU NI UNYANYASAJI NA UDHALILISHAJI WA HALI YA JUU,sio vzr kumwita binadamu mwenzio mtu wa Hovyo hovyo,kila mtu ana thamani yake hapa Duniani yatupasa kuheshimu uumbaji wa Mwenyezi Mungu,hapa mie nilitegemea kusikia mikakati ya kutokomeza hizo Zero za Kisarawe ili zijadiliwe na kuleta muafaka wa nn kifanyike.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Uzalendo wake umemtokea puani kwa mujibu wa mtaka sifa

In God we trust
No wonder wanasema nchi haina furaha,mtu anazalilishwa live na kuna watu walkuaa wanashangilia.
#So_SAD

Sent using Brain
 
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.

Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.

Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.

Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend

Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda

Dumelang
Wewe na makonda akili zenu sawa

In God we trust
 
Back
Top Bottom