Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Huyu Pierre ni nani? Naona ameongelewa saana humu sikunza hivi karibuni.
 
Wewe ukiwa kama nani utuamulie nini kijadiliwe na kwa muda gani kijadiliwe hadi kufikia ufafanuzi au utetezi wako mjadala uwe umekwisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana makampuni hayatajitowa,Bali ndo kwanza yataongezeka, ni kama kumpiga chura teke.
Kabisa lqzima yaongezeke coz mitandaoni jamaa ndo anazungumziwa now. Yaan ni kama kapewa kk fln vle
 
Huyu mtu anadharau sana. Hata kuna kikao kimoja katika ziara yake ya Dar aliwahi kumkashifu dada mmoja mtendaji wa manispaa kuwa ni kichaa. Ni kiongozi pekee anayeweza kufanya na kusema lolote baya lakini asiguswe.

Sent using Jamii Forums mobile app
....makonda kakosea sana huwezi kumuita binadamu mwenzako MTU wahovyo kwakua kapata umaarufu kukuzidi wewe tatizo LA makonda nikuwa na roho ya korosho wivu na matamaa ya umaarufu ebu akumbuke yeye alikotoka ivi wangemdhalilisha na kumdhihaki namna iyo angekua hapo kweli?. Babu yangu aliwai kunambia watu wenye roho za namna hiyo wakizeeka huwa wanakua warogi ngoja tuone uyu jamaa akizeeka itakuwaje
 
Hana jipya amefanya ubashite hauwezi kusema pierre ni mtu wa hovyo hovyo wakati binadamu wote ni sawa.
 
"..Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!"
Anayefunga mjadala hapo ni nani, wewe au yeye? Vyovyote iwavyo, nani anawapa mamlaka ya kutupangia tujadili nini na wakati gani?
 
Anasahau kuwa Tanzania hatujaanza leo ku entertain watu wa 'hovyo'...tulianzia kipindi kile mtu mwenye vyeti feki alipopromotiwa kuwa mtu mkubwa tuu DSM..

#LiveAndLetLive
#ChukiHaijengi

N.B: Mshana Jr na Mrangi inabidi mtoe kauli kwa niaba ya chama cha walevi, member mwenzetu kadhalilishwa
 
Kijitu chenyewe hata nguvu za kiume hakina!! halafu kinaleta wivu kama kibeberu kinachojifundsha kupanda, kiukweli makonda nmekumaind saaana!! huo usengelema ni wa kiwango cha lami,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…