Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo kashasema!INABIDI ASEME MWENYEWE. KAMA JAMAA ALIKATAA KUMUOMBA MSAMAHA LATE RUGE, SEMBUSE PIERRE. HUYU JAMAA KAKUSUDIA 100%
Nimecheka utadhani ni mazuriMlevi wa taifa kajibu vizuri mnooo, jamaa kazidiwa hadi na akili za castle lager..
Werevu wake unapoishia, mwenzie ndio ujinga wake unapoaanzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukiwa kama nani utuamulie nini kijadiliwe na kwa muda gani kijadiliwe hadi kufikia ufafanuzi au utetezi wako mjadala uwe umekwisha?Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!
mjadala Umepinduka, badala kujadili mengi yaliyosemwa pale, watu wameshikia bango "kauli ya makonda kwamba waache kushadadia mambo ya hovyo"
Nimewasiliana na Mheshimiwa makonda asubuhi hii; kasema walimwelewa Vibaya! Hakuwa na maana mbaya juu ya Pierre! kasema hata yeye anampenda Pierre,
alichokisema pale kwenye hafla, Alimaanisha waandishi Wa habari kuliko kujikita kuwapa promo na airtime watu wanaoendekeza anasa na starehe, wafanye na mambo yenye tija kuliinua taifa, kasisitiza, alimaanisha kwamba waandishi wasigemee kutoa promo kwa watu wa starehe tu, waelimishe pia umhimu Wa ELIMU bora kwa watoto wetu"
Pierre kwasababu ni rafiki ake na ni mtani wake, alitoa mfano lakini hainamaana hampendi Pierre!
anatambua mchango Wa Pierre katika uhamasishaji wake Mkubwa alioonesha katika mechi ya mashindano ya AFCON TZ vs UG.
anatoa rai kwa wanasiasa na wanaharakati kushikamana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, waache kudandia mambo yasiyo na tija!
Kasema kwa mfano; Ile hafla yalisemwa mambo mengi sana na ya msingi, lakini kashangaa kuona imetapakaa taarifa hiyo moja tu!
Ingawa pia mheshimiwa pamoja na kutambua kuwa " BAD STORY KWA WAANDISHI KWAO NDIYO GOOD STORY "
Lakini Makonda kasisitiza wananchi Tujikite kwenye mambo ya Msingi!..
Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!
Senior idiot..Hapo utajipima mwenyewe katika kundi la Watanzania wapumbavu we uko namba ngapi? halafu pia pima kati ya Pierre na Makonda nani ni wa hovyo hovyo?
View attachment 1058787View attachment 1058788View attachment 1058790View attachment 1058789
Msanii wa vichekesho
Kabisa lqzima yaongezeke coz mitandaoni jamaa ndo anazungumziwa now. Yaan ni kama kapewa kk fln vleHapana makampuni hayatajitowa,Bali ndo kwanza yataongezeka, ni kama kumpiga chura teke.
....makonda kakosea sana huwezi kumuita binadamu mwenzako MTU wahovyo kwakua kapata umaarufu kukuzidi wewe tatizo LA makonda nikuwa na roho ya korosho wivu na matamaa ya umaarufu ebu akumbuke yeye alikotoka ivi wangemdhalilisha na kumdhihaki namna iyo angekua hapo kweli?. Babu yangu aliwai kunambia watu wenye roho za namna hiyo wakizeeka huwa wanakua warogi ngoja tuone uyu jamaa akizeeka itakuwajeHuyu mtu anadharau sana. Hata kuna kikao kimoja katika ziara yake ya Dar aliwahi kumkashifu dada mmoja mtendaji wa manispaa kuwa ni kichaa. Ni kiongozi pekee anayeweza kufanya na kusema lolote baya lakini asiguswe.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mhusika kaomba radhi wewe unataka ujadili nini, haina maana! la sivyo uwe unapenda mambo ya hovyo!!Wewe ukiwa kama nani utuamulie nini kijadiliwe na kwa muda gani kijadiliwe hadi kufikia ufafanuzi au utetezi wako mjadala uwe umekwisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Same to your dad & momSenior idiot..
Hana jipya amefanya ubashite hauwezi kusema pierre ni mtu wa hovyo hovyo wakati binadamu wote ni sawa.Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!
mjadala Umepinduka, badala kujadili mengi yaliyosemwa pale, watu wameshikia bango "kauli ya makonda kwamba waache kushadadia mambo ya hovyo"
Nimewasiliana na Mheshimiwa makonda asubuhi hii; kasema walimwelewa Vibaya! Hakuwa na maana mbaya juu ya Pierre! kasema hata yeye anampenda Pierre,
alichokisema pale kwenye hafla, Alimaanisha waandishi Wa habari kuliko kujikita kuwapa promo na airtime watu wanaoendekeza anasa na starehe, wafanye na mambo yenye tija kuliinua taifa, kasisitiza, alimaanisha kwamba waandishi wasigemee kutoa promo kwa watu wa starehe tu, waelimishe pia umhimu Wa ELIMU bora kwa watoto wetu"
Pierre kwasababu ni rafiki ake na ni mtani wake, alitoa mfano lakini hainamaana hampendi Pierre!
anatambua mchango Wa Pierre katika uhamasishaji wake Mkubwa alioonesha katika mechi ya mashindano ya AFCON TZ vs UG.
anatoa rai kwa wanasiasa na wanaharakati kushikamana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, waache kudandia mambo yasiyo na tija!
Kasema kwa mfano; Ile hafla yalisemwa mambo mengi sana na ya msingi, lakini kashangaa kuona imetapakaa taarifa hiyo moja tu!
Ingawa pia mheshimiwa pamoja na kutambua kuwa " BAD STORY KWA WAANDISHI KWAO NDIYO GOOD STORY "
Lakini Makonda kasisitiza wananchi Tujikite kwenye mambo ya Msingi!..
Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!
"..Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!"Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!