Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Hii inaitwa bahati ya mwenzio...

Hakuna mtu wa hovyo wala maana... wote tupo kwa sababu...


Cc: mahondaw
 
Kwa level aliyofikia Pierre sio wakumchukulia poa, Kwa elimu ya kawaida tu ya masuala ya masoko unaweza kumtumia Pierre kwenye tangazo la traffic la kipimo chao cha kiwango cha pombe akatukumbusha tusizidishe kiwango, jamaa unaweza kumtupa kwenye tangazo la condoms maana walevi wengi wakishalewa ni mwendo wa kuteleza, jamaa anafit kwenye matangazo ya magodoro ukipiga mtungi yapaswa ulale vzr, hili unywe bila wasi yapaswa uwe umekula vzr hapa hotel migahawa inayopika misosi inaweza kumpa shavu!!
 
Atapata taabu saana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mavi ya bibi yako wee, mtakujaga mfe na wivuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waliompigia makofi ndo najiuliza ni watanzania waliokuwa wamekaa na Pierre ukumbini? Unaweza kuta kuna waliomwalika nao walipiga makofi. Mbinguni ni pagumu aisee.ile amri ya upendo itatuangusha wengi. Tubadilike.
 
Kwanza naomba kujua aliyeruhusu ulevi uuzwe nusu bei badala ya kuruhusu unga wa kupikia ugali uuzwe nusu bei ni nani? Je mahusiano yapoje kati ya aliyeamrisha ulev uuzwe nusu bei na alielewa kwa sababu ya ulevi wa nusu bei? Mtu wa hovyo anafananaje?

Ngaunje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…