Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa igizo!!!Makonda hajatumia busara
Ila piere pia alizidi dharau,kumuita paparazi takataka haikubaliki
Atapata taabu saana!Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Hata hivyo ukiangalia kiundani alietukanwa hapo na Makonda ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate aliemwalika Pieri Likwid Konk.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
mavi ya bibi yako wee, mtakujaga mfe na wivuu!!From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Ai mamaaa sijafoji vyetiiii uwiii nakufaaaa!
Nahis kama nimekuelewa hv!Nasema hivii jamaa ni housing tu ya kiume ila motherboard yake ni ya kike kabisa, wanaume hatupo hivi, hizi ni tabia za michepuko kuonea wivu nyumba kubwa(wenye mali zao)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza naomba kujua aliyeruhusu ulevi uuzwe nusu bei badala ya kuruhusu unga wa kupikia ugali uuzwe nusu bei ni nani? Je mahusiano yapoje kati ya aliyeamrisha ulev uuzwe nusu bei na alielewa kwa sababu ya ulevi wa nusu bei? Mtu wa hovyo anafananaje?Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “
Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako si kwakuwa si ukweli la hasha ila si hekima.
View attachment 1058907
Pierre leo alikuwepo pale kama wahamasishaji wengine walioalikwa hekima tu angetumia ndugu Makonda na kwa maneno machache kwa walengwa bila kumuhusisha moja kwa moja Pierre .
Yawezekana amepata umaarufu kwa tabia isiyo nzuri ila matokeo yake amefanya mambo machache mazuri mpaka hili la hamasa ya tokomeza zero akahusishwa.
Hakumtendea vyema ndugu Pierre leo
Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...wake-kama-katiba-inavyoelekeza.1567031/unread
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo mkuu tukizuia watu kama hawa tutaendelea kiuchumi...??? Swali2
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa....ndio usanii wa aina gani huo?Hata kuwa mlevi ni usanii
In God we trust
Haaaahaaaa....ndio usanii wa aina gani huo?
Leaders are made via right education from a kinder age,before commenting on Mokonda leadeship qualities go through his education background.Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.