Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Makonda was probably RIGHT but NOT WISE. He lacks the qualities of a good leader.
He is not right and not wise.
Yeye amehamasisha ulevi kwa watanzania elfu sitini na tano walioingia uwanja wa mkapa.
Pia akahamasisha ulevi kwa watanzania milion 5 wa mkoa anaoungoza.
Kosa la piere ni kunywa alichokihamasisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kile kuonyesha,hajakosea na msimamo wa kauli yake ya jana kuhusu Pierre Konki Liquid,RC Makonda amepost ujumbe mfupi unaoonyesha kusisitiza kwamba Pierre ni mtu wa hovyo na mlevi...

MAONI YA WANANCHI
 
Jamaa hana Skills za Uongozi kabisa... ni mropokajii balaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama mhusika kaomba radhi wewe unataka ujadili nini, haina maana! la sivyo uwe unapenda mambo ya hovyo!!
Bado ulikuwa una uwezo wa kuwaacha Watu wapime busara ya kile umesema Na walio Na akili wangeacha wenyewe baada ya kuona if there a point on what you have written badala ya wewe kutamka mjadala umefungwa while in the first place siwewe uliuanzisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama samia ni wa hovyo
Magu ni wa hovyo
Makonda (mwenyekiti wa kamati ya uhamasishaji starz) ni wa hovyo...
Kwa sababu hawa awali walimsapoti mtu wa hovyo kama mtu muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite ana wivu wa kike
Vita hii ya maneno sio kati ya bashite na Pierre Bali ni ya jokate na bashite.
JOKATE is the next RC of dar es salaam
 
Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!

Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???

Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????

Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!

Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa

Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpuuzi... Kwamba liquid ndo mlevi wa kwanza tanzania??? yani watoto waache kujifunza kwa walevi waliopo mitaani kwaoo leo waje kujifunza kwa liquid??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acheni kumtwisha dhambi kijana wa watuu... Bashite kazingua ndo maana hakuna anaemuunga mkono.. Huwezi mdhalilisha kijana wa watu kiasi kile wakati hata wewe Unamengi mabayaa na pia unatumia walevi wa madawa ya kulevya na malaya kuhamasisha michezo na kupunguza bei ya vilevi watu walewee... Bashite kazinguaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…