Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!
Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???
Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????
Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!
Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa
Full stop!
Sent using
Jamii Forums mobile app