Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Linda familia yako bwana mkubwa! Ya dunia ni mengi usihamishie shida zako kwa watu huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumuunga mkono Makonda lakini alichokisema ni ukweli mtupu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ila alipo halalisha watu wamkoa wake walewe kwa nusu Bei na si sukari, chumvi, mchele, unga ,usafiri ulishangilia huyo Pierre anakunywa Pombe zake tena siyo kwa punguzo lenu inawauma??
"AMA KWELI MCHAWI BINADAMU PAKA HUTUMWA TU"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutu dogo hana heshima kabisa. Dr Shika ni mtu wa hovyo? Yeye mwenye zero anawezaje kumdharau msomi kama Dr Shika? Yeye ndiye aliyepunguza bei ya pombe sasa kama Pierre alilewa pombe alizopunguza bei kosa liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ni kupinga Vitendo vya Ulevi mbona Makonda juzi kahamasisha pombe ziuzwe nusu bei????? Yani huwezi kumtetea makonda kwa upuuzi aliofanyaaa... Hao watoto mnaosema watajifunza ulevi ni chini ya miaka 18 kwamba wakimuona Liquid kalewa na wao watatafuta pesa wakalewee...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona mtu anaenda kulewa kisa kamuona piere jua huyo ana Matatizo ya akiliii... Utindio wa ubongo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linda familia yako bwana mkubwa! Ya dunia ni mengi usihamishie shida zako kwa watu huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemalizaa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukisema tulinde watoto zetu na uvunjifu wa Maadili kama ulevi bhasi zitumike njia sahihi sio hii eti uzuiee watu wasilewee... vipi wale wanaogonga gest na watoto wanaona...??? Tunafanyaje sasaa...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment yako inajibu kutoka kwenye kasha la sigara lililoandikwa " Ni hatari kwa afya yako"

The world is unfair !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma reasoning za watu humu unaishia kutoka machozi ya huzuni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaona mambo yamekua mengi[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!asijishaue hapa...kashaharibu asijitoe fahamu!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma reasoning za watu humu unaishia kutoka machozi ya huzuni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanao akiharibika usije kumtupia lawama Jirani yako utachekwaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba Mwanangu kawa mlevi kisa jirani analewaaa... Idiot kabisaa...!! Piere hawezi kuwa sababu ya mwanao kuamkaa leo na kuanza kwenda bar kunywa pombee.. Watchout....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu ukiwa na mtazamo huru wa kutoruhusu ushawishi wa mitazamo ya watu wengine utaona wazi kwamba alichokiongea Makonda kipo sahihi.
 
Mungu mbariki Pierre Liquid
 
Linda familia yako bwana mkubwa! Ya dunia ni mengi usihamishie shida zako kwa watu huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo hapo sasa,yani kwa TZ hii katika nyumba tano 3 zina walevi,mtoto aache kuiga tabia za watu wanaomzunguka huko mtaani kwao aige ya pierre ambaye ana trend mitandaoni? huyo mtoto simu anaitolea wapi kama sio malezi duni ya wazazi wake kumuacha mtoto anapekua simu kuangalia wakina amber rutty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…