Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Wewe ndo unafanya utani!!!

Acha kuwa na mawazo finyu mtoto haimaanishi nibwa kwako tu !!!!!

Mtu kama yule ana influence kubwa kwenye jamii hata mwanao anamtazama na kujikuta anavutiwa kunywa !!! Kuna ma role models saizi wa huyu bwana sasa jarbu ku connect dots !!!

Kwann wasanii wanaoimba nyimbo za hovyo wanafungiwa ??? Think Big ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
Linda familia yako bwana mkubwa! Ya dunia ni mengi usihamishie shida zako kwa watu huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumuunga mkono Makonda lakini alichokisema ni ukweli mtupu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ila alipo halalisha watu wamkoa wake walewe kwa nusu Bei na si sukari, chumvi, mchele, unga ,usafiri ulishangilia huyo Pierre anakunywa Pombe zake tena siyo kwa punguzo lenu inawauma??
"AMA KWELI MCHAWI BINADAMU PAKA HUTUMWA TU"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutu dogo hana heshima kabisa. Dr Shika ni mtu wa hovyo? Yeye mwenye zero anawezaje kumdharau msomi kama Dr Shika? Yeye ndiye aliyepunguza bei ya pombe sasa kama Pierre alilewa pombe alizopunguza bei kosa liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo mpuuzi !!! Mara ngapi jamii inapiga vita mtendo mabaya kama ulevi???? Hv ww unaongea kwa kufikiria??? N vijana wangapi wanaishia kwenye ulevi ???

Ungesema au kukosoa namna alivyo mubaddress makonda hapo ningekuwa pamoja na ww !!! Makonda kakosea namna alivyo mu address mbele ya macamera na maneno aliyotumia ila ulevi upo pale pale huyu bwana ni mlevi japo anajitetea kuwa yeye mnywaji na hii haimaanishi ati mie sifurahii anachofanya but ni mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ni kupinga Vitendo vya Ulevi mbona Makonda juzi kahamasisha pombe ziuzwe nusu bei????? Yani huwezi kumtetea makonda kwa upuuzi aliofanyaaa... Hao watoto mnaosema watajifunza ulevi ni chini ya miaka 18 kwamba wakimuona Liquid kalewa na wao watatafuta pesa wakalewee...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona mtu anaenda kulewa kisa kamuona piere jua huyo ana Matatizo ya akiliii... Utindio wa ubongo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linda familia yako bwana mkubwa! Ya dunia ni mengi usihamishie shida zako kwa watu huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemalizaa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukisema tulinde watoto zetu na uvunjifu wa Maadili kama ulevi bhasi zitumike njia sahihi sio hii eti uzuiee watu wasilewee... vipi wale wanaogonga gest na watoto wanaona...??? Tunafanyaje sasaa...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pierre anakunywa bia tu na sio mlevi..
Na kama pombe ingekuwa kosa hivyo kama unavyotuaminisha kwa nini serikali inapokea kodi kutoka kwenye pombe?
Na unawezekana hata wewe umesoma kutokana na kodi iliyokatwa kutoka kwenye pombe au unapita kwenye barabara iliyojengwa kutoka kwenye kodi ya pombe..

ILI WOTE TUSIWE WANAFIKI KATAZENI WATU WASINYWE POMBE NCHI NZIMA
Hii comment yako inajibu kutoka kwenye kasha la sigara lililoandikwa " Ni hatari kwa afya yako"

The world is unfair !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umemalizaa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukisema tulinde watoto zetu na uvunjifu wa Maadili kama ulevi bhasi zitumike njia sahihi sio hii eti uzuiee watu wasilewee... vipi wale wanaogonga gest na watoto wanaona...??? Tunafanyaje sasaa...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma reasoning za watu humu unaishia kutoka machozi ya huzuni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!

mjadala Umepinduka, badala kujadili mengi yaliyosemwa pale, watu wameshikia bango "kauli ya makonda kwamba waache kushadadia mambo ya hovyo"
Nimewasiliana na Mheshimiwa makonda asubuhi hii; kasema walimwelewa Vibaya! Hakuwa na maana mbaya juu ya Pierre! kasema hata yeye anampenda Pierre,

alichokisema pale kwenye hafla, Alimaanisha waandishi Wa habari kuliko kujikita kuwapa promo na airtime watu wanaoendekeza anasa na starehe, wafanye na mambo yenye tija kuliinua taifa, kasisitiza, alimaanisha kwamba waandishi wasigemee kutoa promo kwa watu wa starehe tu, waelimishe pia umhimu Wa ELIMU bora kwa watoto wetu"

Pierre kwasababu ni rafiki ake na ni mtani wake, alitoa mfano lakini hainamaana hampendi Pierre!

anatambua mchango Wa Pierre katika uhamasishaji wake Mkubwa alioonesha katika mechi ya mashindano ya AFCON TZ vs UG.

anatoa rai kwa wanasiasa na wanaharakati kushikamana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, waache kudandia mambo yasiyo na tija!

Kasema kwa mfano; Ile hafla yalisemwa mambo mengi sana na ya msingi, lakini kashangaa kuona imetapakaa taarifa hiyo moja tu!

Ingawa pia mheshimiwa pamoja na kutambua kuwa " BAD STORY KWA WAANDISHI KWAO NDIYO GOOD STORY "
Lakini Makonda kasisitiza wananchi Tujikite kwenye mambo ya Msingi!..
Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!
Kaona mambo yamekua mengi[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!asijishaue hapa...kashaharibu asijitoe fahamu!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma reasoning za watu humu unaishia kutoka machozi ya huzuni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanao akiharibika usije kumtupia lawama Jirani yako utachekwaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba Mwanangu kawa mlevi kisa jirani analewaaa... Idiot kabisaa...!! Piere hawezi kuwa sababu ya mwanao kuamkaa leo na kuanza kwenda bar kunywa pombee.. Watchout....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia kwa jicho la tatu ukiwa na mtazamo huru wa kutoruhusu ushawishi wa mitazamo ya watu wengine utaona wazi kwamba alichokiongea Makonda kipo sahihi.
 
Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “

Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako si kwakuwa si ukweli la hasha ila si hekima.
View attachment 1058907
Pierre leo alikuwepo pale kama wahamasishaji wengine walioalikwa hekima tu angetumia ndugu Makonda na kwa maneno machache kwa walengwa bila kumuhusisha moja kwa moja Pierre .

Yawezekana amepata umaarufu kwa tabia isiyo nzuri ila matokeo yake amefanya mambo machache mazuri mpaka hili la hamasa ya tokomeza zero akahusishwa.

Hakumtendea vyema ndugu Pierre leo



Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...wake-kama-katiba-inavyoelekeza.1567031/unread


Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu mbariki Pierre Liquid
 
Linda familia yako bwana mkubwa! Ya dunia ni mengi usihamishie shida zako kwa watu huru!

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo hapo sasa,yani kwa TZ hii katika nyumba tano 3 zina walevi,mtoto aache kuiga tabia za watu wanaomzunguka huko mtaani kwao aige ya pierre ambaye ana trend mitandaoni? huyo mtoto simu anaitolea wapi kama sio malezi duni ya wazazi wake kumuacha mtoto anapekua simu kuangalia wakina amber rutty
 
Ndio mkuu pale ndo chuki ilianza... akaona mama samia kamtambua liquid kuliko yeyee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tunatakiwa kutokomeza zero
binamubananga___Bvq_2oNhkfg___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom