Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Mbona wanamuziki wanacheza kwa kushika nyeti zao ndio maarufu?mfano Diamond na kundi lake ?je kucheza huku unashika nyeti sio upuuzi ?je kuimba matusi sio upuuzi?
Tena wanahamasishana kuliwana 713 lkn mtoto na baba mama zao ina support

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kusema kuwa pombe ni kitu cha Hovyo wakati moja ya majina ya kiongozi wetu mkuu ni Pombe.
Mtu anasema pombe kitu cha ovyo
Wakati viwanda vinaajiri vinalipa kodi
Inaendesha uchumi wa nchi
Viongozi wenyewe asilimia kubwa wanakunywa pombe.....
Ndomana dodoma wakati wa bunge bar zinajaa biashara zinakimbiza....
Asilimia ya watu ambaye hanywi pombe akili na kufikiria kwake ni mdogo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wana JF, nikiri kuwa simfahamu huyo wanayemwita Pierre Mzee wa Liquid yamkini mimi nipo dunia nyingine. Naomba kama kuna mtu anayeweza kunipatia profile ya huyo Pierre Mzee wa Liquid nitafurahi sana. Hata hivyo nitoe angalizo kwamba kama huyo Pierre Mzee wa Liquid umaarufu wake umetokana na mambo yasiyo na tija kwa taifa hata hiyo profile yake siihitaji.

Ahsante
 
Piere sio mtu wa hovyo, kuba wala rushwa, mafisadi, wenye uchu wa madaraka, wasiofanya majukumu yao kazini hao ni wa hovyo hovyo, sio mtu anayekula pesa yake kwa furaha zake mwenyewe

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Bashite ni kukosa hekima na hili halitokani na ukosefu wake wa elimu maana mtu kuwa na hekima sio lazima uwe na shule ya kutosha. Mtu anaweza kupata umaarufu hata kwa tabia zisizofaa (akumbuke yeye alipata umaarufu na kuandikwa magazetini baada ya kubainika alitumia vyeti vya mtu mwingine kupata ajira kwa kuwa yeye alipata sifuri kidato cha 4) hivyo kabla ya kutoa tamshi lake angejiuliza yeye alipitia wapi. Pili Makonda hafahamu anachofanya ni sawa na kumdharirisha liquid na ushahidi upo wazi na anaweza kufanya kushtakiwa Mahakamani na kulipishwa faini kubwa. Ushauri wangu kwa liquid asimjibu makonda maana anaweza kufanyiwa kitu kibaya hata kupoteza maisha. Amsubiri akitolewa madarakani ndipo amdai haki kutokana na udharirishaji
 
Kumuona binadam mwenzio wa hovyo kisa anatumia kilevi na kimempa umaarufu huo ni upungufu wa hekima...

Mtoa mada ambaye sio wa hovyo tuone kama utapata promo baada ya tangazo la shemej ako bashite...

Mda mwingine unajiuliza hvi hii mbegu inatumia akili kweli kufikiri??.. utamuitaje binadam mwenzio “hovyo” mbele ya umat wa watu na unaye umekaa naye hapo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
uwezo wa kumuita mtu wa 'HOVYO' alikuwa nao Nyerere tu, na mpaka amuite mtu wahovyo ujue amefanya mambo ya hovyo, sasa kumuita Pierre wa 'hovyo' sababu ya kulewa na kuimba nadhani 'media' ndo zingeitwa za 'hovyo' maana siku hizi wameibuka waandishi wengi wanahoji wadada wenye matako makubwa na wanasumbua watu kule instagram na kuwapa airtime ya kufa mtu ila ukifikiria sana napo inakuwa kama kuwaonea, maana media imetambua kuwa Tanzania tunapenda mambo ya 'hovyo hovyo' kama ulevi badala ya kuhamasisha mambo ya msingi! sasa naona Makonda ameshindwa kuangalia picha kubwa kaishia kuangalia picha ndogo ambayo hata kwenye passport haitoshi!
 
Tatizo la Bashite ni kukosa hekima na hili halitokani na ukosefu wake wa elimu maana mtu kuwa na hekima sio lazima uwe na shule ya kutosha. Mtu anaweza kupata umaarufu hata kwa tabia zisizofaa (akumbuke yeye alipata umaarufu na kuandikwa magazetini baada ya kubainika alitumia vyeti vya mtu mwingine kupata ajira kwa kuwa yeye alipata sifuri kidato cha 4) hivyo kabla ya kutoa tamshi lake angejiuliza yeye alipitia wapi. Pili Makonda hafahamu anachofanya ni sawa na kumdharirisha liquid na ushahidi upo wazi na anaweza kufanya kushtakiwa Mahakamani na kulipishwa faini kubwa. Ushauri wangu kwa liquid asimjibu makonda maana anaweza kufanyiwa kitu kibaya hata kupoteza maisha. Amsubiri akitolewa madarakani ndipo amdai haki kutokana na udharirishaji
Hekima sio elimu, ni vitu tofauti, huyu bashite si alifika chuo kikuu na akapata degree, anaweza kwenda hata kuchukua masters na phd ila haitasaidia kama hana hekima - hekina inaletwa na uwezo wa kufikiria na kuchambua mambo kama mtu hajalelewa mazingira hayo hata umpike kwenye chungu cha lami ili aive hamna kitu utakuwa unafanya atabaki vilevile, kuna maandiko yanasema 'mpumbavu haachi upumbavu wake hata umtwange kwenye kinu'
 
Mkuu kuna baadhi ya sabb nakubaliana nawe kumbuka elimu hujenga maarifa (Mkumbuke hayati mzee six bila yeye Bashite asingepata lile ganda maana kuna nguvu ilitumika maana alidisco mapema Mucoobs sabb hana hakuna kitu kichwani). Bashite kajaliwa kipaji cha kuongea na kupanga matamshi lakini anatekekeleza vipi hapo ndipo Mtihani kwake (anatumika kama mpiga siasa sabb ana uthubutu wa kufanya lolote bila kujali mbeleni kuna nini kitatokea) . Alijaribu kachukua Masters Mzumbe university campus ya Dsm tena darasa fulani la vigogo lakini mbebeo ilikatika njiani baada ya waliojaribu kumbeba kupata hofu kupoteza kazi. Sasa mimi sipati mshangao wa huyu mtu kwa kuwa namjua vilivyo
 
ndo tunaye huyo mpaka 2025 kazi kukaza buti
 
Madhara ya kuwapandisha wenye 0 kwenye kampeni ya kutokomeza 0
 
Halafu leo anatuita sisi matajiri kuchangia Taifa Stars ! sitaenda aisee .
 
Samahani wana JF, nikiri kuwa simfahamu huyo wanayemwita Pierre Mzee wa Liquid yamkini mimi nipo dunia nyingine. Naomba kama kuna mtu anayeweza kunipatia profile ya huyo Pierre Mzee wa Liquid nitafurahi sana. Hata hivyo nitoe angalizo kwamba kama huyo Pierre Mzee wa Liquid umaarufu wake umetokana na mambo yasiyo na tija kwa taifa hata hiyo profile yake siihitaji.

Ahsante
Ni mlipa/mchangia kodi mkubwa kwa taifa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom