Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

ninaomba kujua .... ni kwanini 'mwenye' mamlaka ya uteuzi anamkumbatia huyu makonda apart from all lots of his maladministration .... he has proven lack of leadership, sometimes inhumane, blatant and militant behaviour indeed
 
Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!

Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???

Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????

Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!

Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa

Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tatizo tunalozungumzia ni ulevi wa watanzania? Kama ndivyo ulevi wa mzee wa liquid (pierre?) umechangiaje ulevi wa watanzania wengine ?. Hili la kua baada ya mzee wa liquid kufahamika watanzania wamezidisha ulevi, hili linahitaji ufafanuzi wa ziada , utafiti huu umefanywa lini na nani ? Maana kwa kweli hili ni jipya kwangu(na kama ni kweli basi kumbe ni influencer mkubwa hivi? Basi tuna haja gani ya kumdharau, mtu ambaye anaweza kubadkwaili mahitaji katika soko ndani la., nchi zima la ulevi. Ametoa direction ya unywaji kwa wanywaji)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio watu ninaowapenda ktk maisha yangu yaani unajenga hoja siyo kubishana hongera mkuu umekuwa na hekima sana kwa hili!!!

Naunga mkono hoja yako kwamba kosa la makonda liko pale kwenye hayo maneno !!! Angetumia hata maneno mengine ila syo kufanya total devaluation kwa mhusika !!!

Lakn kupitia comment yako hii nmejifynza kitu kwamba ukiwa kiongozi unatakiwa uwe kiongozi kweli , so Makonda binafs kama alikuwa na lengo la kupiga vita ulevi namuunga mkono ila kama alikuwa na hoja zake bikafs ikiwemo chuki hapo kachemka !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila punguza ujinga mkuu. Huku mtaani kuna walezi piere haoni ndani. Halafu ile nusu bei makonda alikuwa anawalenga akina nani. ? Sinywi pombe lakini napinga kwamba walevi ni watu wa ovyo
 
Mkuu, tatizo tunalozungumzia ni ulevi wa watanzania? Kama ndivyo ulevi wa mzee wa liquid (pierre?) umechangiaje ulevi wa watanzania wengine ?. Hili la kua baada ya mzee wa liquid kufahamika watanzania wamezidisha ulevi, hili linahitaji ufafanuzi wa ziada , utafiti huu umefanywa lini na nani ? Maana kwa kweli hili ni jipya kwangu(na kama ni kweli basi kumbe ni influencer mkubwa hivi? Basi tuna haja gani ya kumdharau, mtu ambaye anaweza kubadkwaili mahitaji katika soko ndani la., nchi zima la ulevi. Ametoa direction ya unywaji kwa wanywaji)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jama kaigizaa amelewaa miaka yote na kipindi cha Mizengwe kilikuwa kinarushwa Mara kibao kwenye TV...!! Yani wasimuige yule jamaa leo waje kumuiga Liquid????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Wivuu ni wivu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!

Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???

Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????

Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!

Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa

Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na alieshusha bia nusu bei ana promote nini? Makada bwana..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Yani eti anaharibu watoto...??? mamaee hivi piete ndo mtu pekee anaekunywa pombee tanzania????? Watz kwa roho za kwa nini tumezidi mamaeee...

Sent using Jamii Forums mobile app
Uskute hyu ndio kinara wa kurud nyumbani kwake akiwa bwii,alaf anasema watoto wanaharbiwa na piere

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!

Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???

Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????

Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!

Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa

Full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fala wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ni kupinga Vitendo vya Ulevi mbona Makonda juzi kahamasisha pombe ziuzwe nusu bei????? Yani huwezi kumtetea makonda kwa upuuzi aliofanyaaa... Hao watoto mnaosema watajifunza ulevi ni chini ya miaka 18 kwamba wakimuona Liquid kalewa na wao watatafuta pesa wakalewee...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona mtu anaenda kulewa kisa kamuona piere jua huyo ana Matatizo ya akiliii... Utindio wa ubongo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyu taahira hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila punguza ujinga mkuu. Huku mtaani kuna walezi piere haoni ndani. Halafu ile nusu bei makonda alikuwa anawalenga akina nani. ? Sinywi pombe lakini napinga kwamba walevi ni watu wa ovyo
Basi vivyo hvyo na wewe mkuu!!!

Uzi hunogi bila kuwa na criticism !!!

Kingine ulevi unapigwa vita kila sehemu ukubali ukatae !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ninaomba kujua .... ni kwanini 'mwenye' mamlaka ya uteuzi anamkumbatia huyu makonda apart from all lots of his maladministration .... he has proven lack of leadership, sometimes inhumane, blatant and militant behaviour indeed

Ogopa anaeweka jambo moyoni na kutabasamu wakati moyoni anaumia na kuugua kwaajili yako.
Time will tell
Let us wait and see the results of this.
Very soon moto utalipuka kama moto wa petroli
 
Tuache kulea ujinga na kusifu ujinga.Mitaani sasa hivi mjinga huyu anajiita supa staa/mtu maarufu na ujinga ujinga mwingi kama wajinga wa humu wanaomtetea na kumtangaza mjinga huyu kwa wajinga kuhusu ujinga wa huyu mjinga.

Eti mamaaaa,fayaaaaa,konkiii,likwidi na kujibenua benua kijinga kijnga.

Makonda was right to say what have said at Mlimani City recently.
Siyo lazima wote mumpende likwidi, kuna ambao tunafurahia comedy zake hata kama hazichekeshi n ujue tuu his time is now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom