Kipindi cha kwanza nacho akasimamisha mpira akaenda kunywa maji nje
Hiyo mbona kawaida sana?Kipindi cha kwanza nacho akasimamisha mpira akaenda kunywa maji nje
Weka video halafu nikujibu,Kwa wale waliopitia sheria17 za football tujuzeni alichofanya refa jana ni sahihi kwa kitendo cha kukumbatia mpira then anapiga filimbi kumaliza game! Ila munyama Jana dk za nyongeza alibanwa
Mbona kawaida hyo kusmamisha mpira n kwenda kunywa maji
dakika za 40+ mtu kazidiwa?Hiyo mbona kawaida sana?
Mbona alivyotoa penalt hamjasemaLile ni kosa kabisa ilitakiwa amalize mpira then auchukue mpira
Yeye ndio SI unity ya sheria za soka? au kwa sababu anaonekana kwenya Tv ? hapo kila mtu anaweza kuongea lake kama akina mwamakula na mkinga kwenye vipindi vingine. Hili haliitaji digrii kwa refa kufanya jinsi akili yake inavyomtuma. Duniani kote alama rasmi ambayo hutumika ni FILIMBI ndio maana hata mshika kibandera akiona kosa na kushosha kibendera mpira hausimami mpaka filimbi ilie. Kitendo cha kukamata mpira kabla ya kupuliza filimbi ni tafsiri tosha kuwa alicheza faulo kwa maana mpira bado ulikuwa unaendelea na alishika kwa makusudi. Ashugulikiwe huyoni sahihi kuchukua mpira halafu kupiga filimbi kwa maelezo ya mchambuzi Othman kazi kwenye kipindi cha kipenga(azam sports2)
hilo neno aisee....Raisi wa FIFA anakuja safari hii hamtatumia nauli