Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale waliopitia sheria17 za football tujuzeni alichofanya refa jana ni sahihi kwa kitendo cha kukumbatia mpira then anapiga filimbi kumaliza game! Ila munyama Jana dk za nyongeza alibanwa
Hahahaaaa we ungesikia kiu ungekojoa AMAKipindi cha kwanza nacho akasimamisha mpira akaenda kunywa maji nje