Alichofanya refa mchezo wa munyama na mwadui fc

Alichofanya refa mchezo wa munyama na mwadui fc

Kwa wale waliopitia sheria17 za football tujuzeni alichofanya refa jana ni sahihi kwa kitendo cha kukumbatia mpira then anapiga filimbi kumaliza game! Ila munyama Jana dk za nyongeza alibanwa

Munyama ndio nini!!!
 
Kipindi cha kwanza nacho akasimamisha mpira akaenda kunywa maji nje
Hahahaaaa we ungesikia kiu ungekojoa AMA


Mpwa hio n MOJA ya usalama wake wanaruhusiwa kabisa nn maji akishikwa NA choo kikubwa anasimamisha msaidizi anamalizia akiwa safi anaendele NA kipindi cha pili
 
Haaaa haaaa haaaa sawa mjomba lakini zilibaki dakika mbili mpira uende mapumziko alishindwaje kuvumulia. Nahisi alisimamisha Ili kuwapa ahueni timu fulani
 
Back
Top Bottom