Alichofanya refa mchezo wa munyama na mwadui fc

Alichofanya refa mchezo wa munyama na mwadui fc

Lile ni kosa kabisa ilitakiwa amalize mpira then auchukue mpira
 
  • Thanks
Reactions: y-n
ni sahihi kuchukua mpira halafu kupiga filimbi kwa maelezo ya mchambuzi Othman kazi kwenye kipindi cha kipenga(azam sports2)
 
Kwa wale waliopitia sheria17 za football tujuzeni alichofanya refa jana ni sahihi kwa kitendo cha kukumbatia mpira then anapiga filimbi kumaliza game! Ila munyama Jana dk za nyongeza alibanwa
Weka video halafu nikujibu,
Nb: video ya tukio la refa akikumbatia mpira
 
Refa alipoteza umakini dkk za mwishoni kabisa. Amechezesha mpira vzr lkn vitu hivi vidogovidogo vinawashusha
 
Mbona kawaida hyo kusmamisha mpira n kwenda kunywa maji

Mkuu sio dakika ya 40+ hapana hiyo haikubaliko, unasimamisha mapema au mnakubaliana kila baada ya nusu kipindi mnakunywa maji, huyu alisimamisha dakika za mwisho mwisho mtu kazidiwa.
 
ni sahihi kuchukua mpira halafu kupiga filimbi kwa maelezo ya mchambuzi Othman kazi kwenye kipindi cha kipenga(azam sports2)
Yeye ndio SI unity ya sheria za soka? au kwa sababu anaonekana kwenya Tv ? hapo kila mtu anaweza kuongea lake kama akina mwamakula na mkinga kwenye vipindi vingine. Hili haliitaji digrii kwa refa kufanya jinsi akili yake inavyomtuma. Duniani kote alama rasmi ambayo hutumika ni FILIMBI ndio maana hata mshika kibandera akiona kosa na kushosha kibendera mpira hausimami mpaka filimbi ilie. Kitendo cha kukamata mpira kabla ya kupuliza filimbi ni tafsiri tosha kuwa alicheza faulo kwa maana mpira bado ulikuwa unaendelea na alishika kwa makusudi. Ashugulikiwe huyo
 
Back
Top Bottom