Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Usajili wa Simba na Yanga japokuwa waga niwa kukomoana Kwa miaka yote ila ni vizuri kusubiri hadi umuone mchezaji lasivyo huwezi kuwa na uhakika na kinachoongelewa

Viongozi wa hizi team washajua mashabiki wao wanapenda kuskia nini, sasa mfano hiyo shot inaonesha ni mfano wa offer na sio signing contract, kitu ambacho ata insta utd inaweza kuprint na kupostia watu

Na mbaya zaidi kuna wakati ata hawa wachezaji wanaoimbwa na viongozi wa hizi team 2 waga hawaji kabisa kutumikia hizi club za kariakoo, so let's wait and see
 
waga = huwa
 
Simba Ni Lidude Likubwa Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2257308
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…