Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Nyie endeleeni kujipaka mavi...
Labda mumsajili Aziza Kiki wa magomeni
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-174438.png
    Screenshot_20220611-174438.png
    94.1 KB · Views: 16
Huyu punguani kma aliweza kuwaambia mtaanzia hatua ya kwanza atashindwa hili?
Mkuu we endelea tu kupiga kura hata mara 100 kwa siku kwenye shindano la zaidi,ndio faraja yenu iliyobaki msimu huu,huku kwenye usajili utajitonesha maumivu mengine kabla maumivu ya ule mchi wa feisal kule kirumba na kukosa ubingwa wa nbc premier league,kajifariji kwenye nani zaidi kule
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-174540_Instagram.jpg
    Screenshot_20220611-174540_Instagram.jpg
    49 KB · Views: 14
Alichokiandika Haji Manara baada ya Simba SC kukanusha barua inayowahusisha na Stephane Aziz Ki, kupitia ukurasa wake wa Instagram :

✍️ “ Sasa hivi Wanaikana Barua yao wakati leo kutwa walikuwa wameaminishwa uzuzu na Bi Chaunabe.

“Hii ndio Yanga Afrikaaaaaaa..

Vp kuna Maswali?

“Haya Makolo,,nendeni mkalale sasa hivi,tena mjifunike Gubi Gubi, mkijiamsha tu natuma Mkataba

“Yanga itake lake ishindwe na Watu waongo waongo? Ulisikia wapi?

“Halaf kumbe ndio maana Makolo na Wachambuzi wao NZALA hawamtaki Hersi.

“Ndugu yangu ww tema kulia mm nafukia kushoto,,,hadi watwambie Bilioni ishirini feki zipo Benki gani

“Pambaneni na Buku Buku, msajili kina Aziiz Ally wa Mtoni Kwa Burushi, Ndegelec

“Mkileta Fyoko natuma Voice ya Chaunabe kwa Namba Ten 99

Beauty Beauty,.....”🖋️

#KitengeSports
 
Simba imeshapakatwa,offer yao imetupwa.aziz ki anaungana na Yacouba Sogne Yanga!!
Asubuhi tu,shida wanakelele nyingi bila vitendo......Yule Adebayor mpaka walimfanyia interview,ila RS Berkane wameshamdaka juu Kwa juu Kwa taarifa zilizopo
 
Back
Top Bottom