Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Hiki kipindi cha usajil ndipo naonaga wazi watanzania wengi tulivyo mambumbumbu.

Ukifuatilia mitandaoni ukiona watu wanavyofanywa toilet paper na wanajaa kweli kweli unabaki unashangaa tu.

Alafu why swala la kumsajil mtu lionekane Jambo fulani kubwaa kias hicho?
Shida ya sisi wabongo tunapenda Sana attention ndio maana waandishi na viongozi wa tmu hizi mbili hutumia kipindi km hiki kujizolea umarufu na sifa ambazo hawana so hujificha kupitia ujinga wetu.

Alafu watz tuna shobo Sana na wachezaji wa kigeni ,huu ushamba sijui utaisha lini ,kupitia ushamba wetu tunawapandisha gharama hao wachezaji bila kujua ,mtu wa kumnunua 100m inafikia wakat ananunuliwa kwa 300m kisa ushamba wetu.
Hata adebayor Simba wangempata vzr tu km wangeenda kimya kimya, shida ni kutaka sifa kwa mashabiki na kuleta sintofaham kila Kona ya mitandao na ikapelekea wa upande wa berkane kuamka na kuhitaji sain yake .
Kwan mkisajil kimya kimya bila kelele na mbwembwe shida iko wapi?
 
Kwakweli inasikitisha.
 
View attachment 2257244
View attachment 2257246
Mchezaji alitetwe na wengine adakwe na wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Matikiti maji ya MO buana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_2022-06-12-12-51-44-97.jpg
 
OKW BOBAN SUNZU nakuita uje nimejitolea nakulipa buku kwa kila reply utakayotoa kuanzia sasa Ktk uzi huu, mimi kama KoloWizard mwenzako naona fedheha jinsi ulivyotelekeza uzi wako kama wa Kibu D Vs Mayele
Haaaaaahaaaaaa tatzo ujuaji huyu jamaa mm nilimtahadharisha mapemaaaa hakutaka nisikia uzi anauona mchungu sasa!
 
Namuona OKW BOBAN SUNZU anavyorandaranda kwenye jukwaa la Siasa naishia kucheka nikukumbuka jinsi alivyotelekeza nyuzi zake kwenye jukwaa la michezo na kuchagua kuishi Jf kama mkimbizi .
Screenshot_20220613-040239_Chrome.jpg

Screenshot_20220613-040309_Chrome.jpg
Toka lini mashabiki wa Yanga mkapata akili. Mlitapeliwa kwa picha za Morison na Shishimbi hamkushtuka. Leo mnarudia upuuzi ule ule
 
Back
Top Bottom