OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #101
Injinia anatafuta kura za Wana Yanga kijanja Sana awe m/kiti ili waiteke timu jumlajumla na bosi wake GSM .
sijui atawaambia nini mwisho wa siku! afanye kila jinsi amsajili apandilie dau la Simba,sijui atainya wapi US$ 150,000! kinyume chake watamla nyama. kana ujanja wa kishamba ndio maana picha zimeanzia kutolewa na oya oya ili mwisho wa siku kazikane.
Waandishi wa hovyo nao wameingia mkenge 🤣🤣