Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

Alichofanya 'Try Again' kwa Ki Aziz kinaitwaje kitaalam

FB_IMG_1654969819276.jpg
 
View attachment 2257244
View attachment 2257246
Mchezaji alitetwe na wengine adakwe na wengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Nakutabiria huu uzi utauchukia km ule uliosema Yanga kwa Mayele tulipigwa watu wanakuchapa nao tu siku hz hata cha kujibu hauna unatamani kuufuta aibu tele huu pia watu watakusimanga saaaaana subiri Simba mipango imeisha viongozi wanajaribu kutuliza hali ya hewa tu wangekuwa siriaz wasingebishana eti mugalu aondoke au abaki watu walio siriaz na njaa ya mafanikio hawawezi argue kisa mugalu
 
Mimi sijaelewa mkuu, huu mjadala wa Mugalu umefanywa na viongozi au mashabiki?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
More on Aziz Ki deal. Meeting today Evening Confirmed , took place in Ivory Coast reached full verbal agreement with Assec & agent too

Ki is Black & Yellow ✅
 
View attachment 2257244
View attachment 2257246
Mchezaji alitetwe na wengine adakwe na wengine 🤣🤣🤣🤣🤣🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Wewe ni mmoja wa wale mashabiki ambao Rage aliwaita mbumbumbu! Siku zote ni mtu wa kukurupuka tu!

GENTAMYCINE my young brother, huyu shabiki mwenzenu anawadhalilisha sana mjue! Imagine umesoma zako SAUT pale Mwanza, na kuondoka na First Class yako with honours!

Halafu unashabikia timu moja na mtu wa aina hii! Si bora uhamie tu upande wa pili kama ndugu yako Haji Manara ili na wewe usionekane ni mbumbumbu!
 
Kuanzia leo nastaafu kumuita GENTAMYCINE popoma hili jina lina faa kutunukiwa mleta mada kwa upopoma uliotukuka wa kukimbilia mambo bila kufanya analysis ya kutosha na kujiridhisha kama afanyavyo Genta ,na ni fedheha kwa mtu mwenye IQ kama yake kuwa timu Moja na mleta mada.
 
Wakati Mwingine haya mambo yanatakiwa yaishe mapema.

Muda wa usajili na kupeleka majina CAF ndiyo huo ,

Ushauri kwa Simba fanyeni mambo kitaalamu twende na muda na tunahitaji wapambanaji uwanjani siyo majina tu .
Tuleteeni Mshambulaji hatari 1 au 2 tunahitaji magoli uwanjani.
 
Back
Top Bottom