Alichofanyiwa Marehemu Job Ndugai ndio wanafanyiwa wengine sasa

Alichofanyiwa Marehemu Job Ndugai ndio wanafanyiwa wengine sasa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Waliposhika madaraka watu waliwaonya ila wakaona haya yana wahusu wapinzani na wanaotaka kusema ukweli.

Mtakumbuka Marehemu Ndugai alipokuwa spika baada kuona upepo wake na yeye kuwekwa chini ya uwangalinzi ambao hata ukitaka kwenda kwa mchepuko usubiri maagizo.

Viongozi wengi sasa tunayo yapata kufungiwa ndani tunapoitiaha maandamano sisi wananchi kwa sasa wao wanalia hata pesa waliyo nayo hakuna faida nayo maana uhuru hawana.

Na jaribu kutafakari kuna mmoja anaishia kujifanya ana maono wakati na yeye alikuwa spika.
 
Remember: Kete zinasukumwa kwa akili sana....
 
IMG_20251002_213624.jpg
 
Teh Teh. Tulia huyu huyu naye ana maono? My foot.
Alipowasaidia kuuza bandari ambazo ni urithi wa wajukuu zake toka kwa Mungu maono aliyaweka wapi?
Tulia ni zaidi ya mnaowaita chinja chinja maana effect za aliyoyafanya hata miaka 30 ijayo yataendelea kuwepo
 
Back
Top Bottom