Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

 
Last edited by a moderator:
ni kweli hiyo video inaonesha hivyo na kweli mheshimiwa ange-acknowledge hilo fungu la maneno. what a pitty, what a plagiarism!
 
Tatizo lenu vijana ni kujisahau nakujiona ninyi ni matawi ya juu kuliko wengine. Na wewe unadharu viongozi wa wenzio, kati ya wenyeviti wote wa CCM nani alikuwa profesa au daktari wa kusomea? Uongozi ni kipaji na wala si elimu pekee. Na akuna mwenye elimu ya kila kitu, yaani yeye awe profesa wa kila fani.
 
 
Last edited by a moderator:
 
Hivi na wewe Mwigulu Nchemba una akili gani wewe? Hebu tutolee nzi hapa.

Skungundua kuwa mwakilishi wa hii thread ni Mwigulu Nchemba mpaka niliposoma hii posting yako.

Kwa kweli jamaa ana vituko kweli. Kwa maana hiyo anataka kusema kuwa yeye Mwigulu ni akili kubwa CCM !!?? Kazi kweli kweli!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mp Kalix2
hiki ni kilio cha fisi kuukosa mzoga JIRIDHISHE MWENYEWE kabla ya wanaume kufanya maamuzi magumu

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN
 

kama siyo akili ya Mwigulu ni matope nini?
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN
 
Kati ka waropokaji namba moja hapa tz mwigulu nadhani anafunika..... Hivi huyu jamaa anaongoza watu wa aina gani.. Ingekua mm niko jimboni kwake nisingekubali kuongozwa na kiongozi kama huyu
 

Huyu nchimbi ni wazir wa mambo ya ndani ambaye inaonekana anafanya haya mambo. Je Watanzania tupo salama kweli? Si ajabu kuwa wananchi hawaliamini jeshi la polisi.
 
Kama elimu ndio akili kubwa, mbona JK anaongoza CCM yenye Maprofessor kibao? Move hii ya CDM ni pigo kwa CCM, hivyo Mh Mwigulu anaonyesha hisia zake
 

nchemba kaumbuka na mikakati yake ya kukiua chama
 

Je kuna kikwazo gani kwenye Tume ya Warioba?
Je kikwazo ni baadhi ya wajumbe?

Watanzania wasipokuwa makini Nchi hii muda si mrefu itakuwa kama Kenya 2007.Na mara nyingi ni watu wachache wenye tamaa zao ndiyo husababisha matukio au hali kufikia hatua mbaya.

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti.

Who is this Msangi ?
Could it be the same on Dr.Ulimboka Saga?
 

Nilichokigundua ni kuwa Ndugu Mwigulu una akili kubwa but ni ya kwenye makaratasi yaani ni ya kujibia mtihani na hii ndio kawaida kwa elimu yetu ya Tanzania, Elimu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa ni ya kujibia mtihani.
Kwa mujibu wa Tundu Lisu mwanasheria wa chadema jana alisema kuwa jamaa walikili kosa na wao wenyewe wakaomba kujiuzuru nyazifa zao halafu wewe unasema akili ndogo inatawala akili kubwa, Hivi akina Prof Beregu, Prof safari wote ni akili ndogo? Vipi kuhusu umuhimu wa busara au kwako wewe akili kubwa ni ipi na akili ndogo ni ipi?
Ni wazi kwako wewe akili kubwa ni usomi ule kuingiia darasani bila kujali usomi huo unaisaidia nini jamii, kwako wewe akili kubwa ni kuwa profesa bila kujali uprofesa huo ni kama wa Kapuya au la!?
Binafsi ningeomba unisaidie kwako wewe Akili kubwa ni ipi? Na Akili Ndogo ni ipi? Maana usije ukawa umemeza tu huo Msemo bila kuuelewa.
 
Intelijensia ya Chadema ipo juu ya akili ya Mwigulu na Bwana ake Kinana
 
hahaaaaaa mi napita pilipili usiyoila yakuwashia nn we mwigulu.ya ngoswe muachie ngoswe
 
Mwigulu Nchemba!

siku nyingine unapotumia "kazi"za watu wengine lzm uandike chini kama umepata wapi misemo hiyo na sheria ya patent rights inasisitiza hivyo

"Akili ndogo kuongoza akili kubwa"ni "kazi" ya Mch Msigwa Peter(MB-Iringa Mjini),umetumia "kazi" zake lkn bila kueleza kuwa ndiye hasa mwazilishi wa "kazi" hiyo!

Au hujui kuwa copy and paste "kazi" za watu wengine na kuzifanya ni zako ni kosa la jinai?Namna gani wasomi wetu hawa jamani!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…