Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Nataka Msomi Mwingulu Chemba aniambie ile nukuu ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA ameipata wapiti!? Ni ya kwake!? Kama sivyo kwanini msomi wa first class asitoe Attribution? Si ndivyo wasomi hufanya? Kama anataka niendelee kumheshimu anijibu ameipata wapi!!!!!!!!!!?????????????????
 
Mwigulu kwa maneno yako hayo nahisi kama 'mkorogo umedunda'!
 
Mwigulu mchumia tumbo first class... Watanzania wanajua kwa nini unamlilia Zitto kutimuliwa CDM! Haiingii akilini CCM badala ya kufurahia kusambaratika kwa CDM mna lia lia kutimuliwa kwao!!!! Ama kweli Akili ndogo ni ndogo tu...
 
We ni Vulture mwenye njaa kali, unakula timing na hata kuhimiza mauti iharakishe mlo.
Tangu lini umekua mshauri wa CHADEMA wakati kwenu CCM kuna MaDr wa Meno ya Tembo wabakaji, Mafisadi na Magaidi?
Unaona Kibanzi kwenye jicho la CHADEMA wakati kuna BORITI ndani ya jicho la CCM?
Hata hivyo asante kwa kujipitisha.

images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

......

.....

unajua inasikitisha sana msomi anaposhindwa kuelewa maana ya akili kubwa na akili ndogo badala yake anafananisha akili ndogo ama kubwa na kiwango cha elimu aliyofikia mtu....

Hivi Prof. anapojishughulisha na masuala ya 'ubakaji' wa watoto/wanafunzi anatumia akili kubwa ama akili ndogo?

Tafakari...!
 
Ukifanya jambo shetani akakusifu, ujue una matatizo makubwa. Nguzo zenu ndani ya CHADEMA zimeng'olewa lazima mlie. By the way, elimu ina maana gani kama itatumika kubomoa, mbona nyie mnawasema kina Dr. Kawambwa, Prof. Maghembe etc ambao wana elimu zaidi yenu kuwa hawafai?
 
mwigulu aka savimbi mbona hueleweki? kufukuzwa zito na kitila CDM ndiyo unaona issue lakini kumwangamiza Horace Kolimba unaona sawa?
 
Ndugu mwigulu nchemba, hivi nawewe unaweza tuhumu wenzio kwa kupata eti zero? Unasahau hilo jina unalo2mia umelipataje!
 
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

Japokuwa una gamba gumu, lakini ulichosema ni hakika na kweli. Akili ndogo kutawala akili kubwa ni vigumu sana.
 
Japokuwa una gamba gumu, lakini ulichosema ni hakika na kweli. Akili ndogo kutawala akili kubwa ni hofu tupu.
 
badilisha msemo ndugu,yaani akili yako imeganda kabisa huwezi kufikiria wimbo ungine zaidi ya huu!

Hivi bado una nguvu za kutetea "ujinga" huu uliofanywa na viongozi wa juu wa Chadema? Chama kinaendeshwa kama NGO?
 
Kwa hiyo wewe kwa vile GPA kubwa ya uchumi basi umemzidi Jei Kei kwa kila kitu?
 
Hivi kuwa na degree nyingi na kufundisha ni issue siku hizi? Mbona wewe Mwigulu unazo nyingi lakini hamna kitu? Mbona baba/mama yako hakuwa na degree nyingi lakini alikusomesha, akakulisha na anaheshimika tu?

All we want from a good leader is output,making right decisions at the right time. Sio kutupigia kelele za pesa za Uswis kutwa nzima...eti nitaje majina nisitaaaaje...?
 
leo umekuwa ni mtetezi wa zitto,mambo ya ajabu haya.....na leo una nukuu kauli ambazo huwa zinawachoma hsa hiyo ya msigwa....tafuteni wengine wa kuwatumia....mwigulu nakuchukia sana.....

Kuna jambo moja nashindwa kujua kwa nini CCM hapa jamvini wanahuzunika tuuuu badala ya kufurahia na kuitisha mkutano mkubwa pale Jangwani kutangazo huu mporomoko wa CDM?? hivi zitto naye ana akili au tope kichwani mwake? alishindwa vipi kujirekebisha toka pale mawasiliano yake na Zoka yalipowekwa bayana mtandaoni??

R.I.P ....ZITTO TUNAKUPENDA LAKINI CCM WAMEKUPENDA ZAIDI
 
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

Kipimo cha kawaida kabisa cha kupima akili ya mtu ni mafanikio ktk kitu anachokifanya, Mafanikio ya mtu ktk kitu fulani yanaonesha uwezo wake, kama hivyo ndivyo, basi hawana akili maana wameshindwa kufikia mafanikio kwa lugha nyingine tungesema hawana akili, watu wengi hapa wanajiuliza ni vipi Dr Mkumbo akakubali kutumika na Zito? wengi wanaamini mkumbo angeweza kuwa na akili zaidi za kufikiri cha ajabu ametumika sasa kama mkumbo anaakili basi aliutaka uenyekiti zito bila kujua lkn pia alitakiwa afikirie zaidi na ktk mpango huu hakuna mahala panapoonyesha palikuwepo na matumizi ya akili kwa kundi zima bali walisukumwa na tamaa ya madaraka zaidi. Hivyo basi ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Mbowe na kundi lake wanaakili zaidi maana wamegundua mbinu ya kitoto ambayo ccm wameitumia saana kutaka kuiangamiza CDM wameshindwa na akina zito wamekopy na kupest bila hata kujipa nafasi ya kufikiri. Kwahio kuita akili ndogo ndo inaongoza ni kujitia ujinga wa kukosa kufikiri kama hawa Maharamia wa siasa walivyogundulika na siku zote ujanja kupata wao sasa wamekosa niwajinga tu.
 
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA

Nakubaliana na mawazo yako Mhe. Mwigulu kiasi fulani, lakini nina swali moja tu. Serikali hii pamaoja na chama tawala imebahatika kuwa na wasomi lukuki ukiwemo wewe Mhe. Mwigulu wenye PhD, Masters, Bachelors, Diplomas na Certificates za aina mbalimbali katika nyanja mbalimbali, lakini ni kwanini basi nchi hii yenye raslimali za kila aina zilizozagaa kila kona ya nchi na bado tupo hapa tulipo wananchi wetu wengi mijini na vijijini wapo katika kina kirefu cha ufukara wa kutupwa. Kwahiyo swala sio kuwa na PhD au Masters, swala ni namna gani unaitumia hiyo Masters yako kuwasaidia masikini wa nchi kupata maisha bora kwa kutumia fursa zilizopo bila upendeleo wa dini, kabila, ukanda au itikadi za vyama vya kisiasa. Kutumia "PhD" au "Masters" yako ili kijenga taifa lenye upendo, heshima na mshikamano miongoni mwa raia, zaidi ya haya Mhe. elimu inakuwa haina maana ya aina yoyote zaidi ya majivuno.
 
Yaani hapa ndio magamba huwa yanazidi kumharibia ZZK, kumtetea. Magamba hayawezi kuficha hisia zao kabisaaaaa...

Angekua yule ZZK wa zamani, naamini angeyapiga stop..Lakini huyu ZZK wa sasa sijui nani kamroga masikini...anachekelea tu
 
Mwigulu , wewe na William mnachangia sana kumuangamiza Zitto hapa .Zitto ana akili zake na haki za kuamua mambo yake lakini mmekuwa mnakuja hapa na kauli za kumfanya Zitto atiliwe mashaka na Uongozi na wanachama wote wa Chadema .Now what you doing you not harming Chadema ila unamkandamiza Zitto .
Tatizo ni kwamba Zitto mwenyewe anadhani hawa jamaa wanampenda sana hivyo haonyeshi dalili za kukerwa na maandiko ya hawa jamaa ambao wanadhani kwa wakiandikacho ni kuikomoa Chadema.
ni kwamba Chadema imetua mzigo "mzito" sasa inapumua hayo yasemwayo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
​
...............................
Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa. .................

Haya ni maneno kutoka kwa Naibu Katibu mkuu Taifa wa chama Tawala na Mbunge wa Iramba Magharibi. Ningependa sana maneno haya wayasikie watu wa Iramba ambao wengi wao hata hicho kidato cha kwanza hawakukiona acha na hizo zero za F4(Div.5)
Nasema hivyo ili wajue kuwa mbunge wao anachofahamu yeye ni kuwa akili ndogo ni kutokuwa na degree mbili au Phd na kuwa asiye nazi ana akili ndogo na hafai kuwa kiongozi kama yeye. Pia tamko la Mwigulu laweza kuwa tamko la chama, hizo ndio salamu za Chama kwenu nyie viongozi na wanachama wengine ambao hamna degree kama za Mwigulu. MNA AKILI NDOGO (kwa vile hamkusoma) HAMUWEZI KUONGOZA AKILI KUBWA KAMA ZA AKINA MWIGULU. Mnatakiwa kutoa kura tuu kwake,fullstop.
 
Back
Top Bottom