Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Mnafki mkubwa ww mwigulu leo ndo unatambua akili ndogo kutawala akili kubwa mtafute mh.msigwa akufundishe akili ndogo ni ipi na akili kubwa ni ipi
 
ha ha

Bwana Mwigulu Nchemba mbona kama vile nyie CCM mmeumizwa zaidi na kuondolewa kwa Zitto kuliko sisi wenye chama?

Ashakum si matusi, lakini fikra ya ziada kidogo ingekuonesha kuwa bandiko hili linasaidia sana kupigia mstari na kudhihirisha ukweli wa yale yaliyosemekana kufanywa nawe na wassira kwenye kumnunua Zitto..hii inaitwa emotional intelligence analysis.
 
Last edited by a moderator:
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA


Hivi wewe li CCM pilipili usiyoila yakuwashia nini? Hivi wewe mwigulu NChembe umekuwa mjuzi wa mambo ya Chadema kuliko wenye chama? Kitanda usichokilalia utajuaje kunguni wake? Mbona makamba hakuwa na degree na aliongoza ccm na mkoa wa Dar es salaam? Mbona Komba mchezesha viuno wa TOT ni mbunge na mNEC wa taifa, kwa maana hiyo ni moja wa washauri wa chama na Kikwete? Mbona mzee kawawa hakusoma lakini alikuwa makamu wa rais, waziri mkuu na mjumbe wa kamati kuu na halmashauri kuu? Wewe ndiyo unasema una degree bila ya kuwa na hoja tena ka degree kamoja nako unajidaia. Usipende kudakia mambo? Mambo ya chadema waachie wao wewe endelea kuimarisha chama chako. Vinginevyo na wewe utaonekana kizabizabina cha kurukia mambo hata yasiyokuhusu? Mbona nyie mmemfukuza uanachama mNEC na mwakilishi jimbo la Kiembe samaki Mansoor Himid wa baraza la mapinduzi Zanzibar? Acha unafiki wewe Mchembe sijui Nchembe.
 
Hahaaa! sikujuwa kama akili KUBWA inajumuisha pia kupokea pesa kutoka TISS na kuzipitishia Ujerumani! Akili kubwa ni kununuliwa kwa vijilaki!
kama yaliyosemwa ni ya kweli, Mpe pole ndugu Kitila, amedhalilisha sana uana Nzuoni! ZZK na KT walikuwa political icons kwa vijana. Ila ni kawaida "Ngoma ikivuma saaaaaana upasuka"!
 
Mansoor wa ccm alifukuzwa na chadema hata Kafulila wa nccr,Dr. Slaa ndiye aliyemwagiza Maalim Seif kumfukuza Hamad Rashid wa cuf

Nimefurahi mwanafunzi wa PHD na naibu katibu wa chama tawala kujenga msingi wa hoja yake kutoka kwenye nukuu ya diploma holder mwanachama wa kawaida wa upinzani Mhe. Msigwa 'akili ndogo kuongoza akili kubwa'
 
images

Kuvuliwa vyeo kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" It is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) Yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) Zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) Hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) Akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, Kitila, Christowaja, Matiko, Opulukwa, Baregu, Leticia, Selasini, Arfi, Akunay, Naste wengi wao MA holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know Zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua Dr Kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
Haya ndio madhara ya AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA, HOFU NDIO HUTAWALA


Pilipili usiyokula....
 
Huna lolote la kutuambia Mwigulu kwani Jumbe, Sharrif Hamad, Mayunga na wengine walipofukuzwa kwenye chama ilikuwa akili ndogo kutawala akili kubwa? huna lolote kazi kujiita first class wakati ukiongea uwezo wa first class huna mafirst class hujulikana kwa akili zao sio kwa kujitangaza, mfano Nyerere, Obama, Tundu Lissu, Lamwai, Mwakyembe, Mwandosya Museven sio wewe Mwigulu, Kikwete, Mwinyi, Kinana na Nape nyie kama ni ufirst class ni wa kununua, kuangalizia, kugandamizia au wa kugushi
 
Mbona hujasema unanukuu kauli hiyo ya Mheshimiwa Mchungaji Peter Simoni Msigwa (Mbunge mteuliwa na Mungu Iringa Mjini) ..................kaa mbali na tembo!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Sioni shida CDM kuweka watu wa Mungu ili tuende na Mungu.Zitto si alishakiri kuwa anatumika na shetani na anweza ua hadi mende kwa vie kaaga Kigoma?

NATAPA HURUMA KWA MWIGULU KWA VILE HAJAPATA MUDA WA KUMCHAFUA ZITTO N AHIVYO ZITTO AKIITAMANI NAFASI YAKE HAKUNA MUDA WA CCM KUJIANDAA KUMHARIBIA.SOON TUTAONA DAMU.
 
Mwigulu Mchemba kwanye ujumbe wako umetumia Quote ya MH Mchngaji Peter Msigwa kila andishi ni bora ungesema By Mchnganji Peter Msigwa sasa hapa moja kwa moja nawea kusema umekurupuka au hii habari umeiaandika ukiwa juu ya mnazi.Hivi iweje ulalamike Zitto na Dr Kitila Mkumbo kuvuliwa uongozi au nyadhifa zao hapa KUNANI?Au ndio mikakati yenu ndio imefia hapo baada ya hawa jamaa kuvuliwa uongozi??Niseme tu kwamba Mwigulu Mchemba hebu katimize ahadi zenu mlizopitisha mkiwa kwenye mkutano wenu pale Dodoma na mwenyekiti wenu amabye ni Akili ndogo kwani yeye ana DR fake lakini anaongoza Maprofessor kama ulivyoandika hapo juu si una maanisha hivyo akili ndogo kuongoza akili kubwa so mojaa kwa moja unatakiwa umtake radhi Mwenyekiti wako Kikwete kwani umemgusa nikirudi kwenye mkutano wenu pale Dodoma mliopitisha kwamba lazima MAFISADI watoke wajivue/muwavue Gamba lakini hadi leo hatujaona wala kusikia kama kweli CCM wamefanya maamuzi magumu naa baado wale MAFISADI ambao hata mwenyekiti wa CCM na Rais Jakaya Kikwete aliwaona na kusema lazima watoke hadi leo wapo na wanapeta so iweje leo hii UTOKE mapovu kiasi hiki baada ya kusikia kuwa Zitto na Kitila Mkumbo wamevuliwa Gamba nusu?I mean kama Zuitto bado ni mbunge na Kitila atatakiwa kuomba msamaha kwa ufupi tu ni kwamba kwa Tanzania hakuna chama kama Chadema chenye maaamuzi magumu only Chadema kwisha kazi na nyie mtaendelea kutoa mapovu tu lakini haakua nkitakaacho fanyika Chadema wameweza na wanaweza big up Chadema.Kuvuliwa nyadhifa kwa Zitto Zuberi Kabwe na Dr Kitila Mkumbo ni pigo kubwa kwa CCM
 
Demokrasia iko wapi wamemuhoji au wamepanic tu na kumfuta au wanamuogopa Umaarufu wa Zito ni nusu ya Chadema kama wanabisha wapige kura wanachama hata mia tano tu wenye kadi na wasitokee kigoma watoke Hai kuwa Zito atoke au asitolewe na mwisho zito atashinda tu Cdm wamekurupuka kwa hilo Onyo tu lingewafaa wamejinyonga kwa hilo hakuna atakayewaamini tena!
 
Kwa wasaliti wote hiyo ndiyo stahili yao.Watu wa aina ya ZZK wakati wa mapambano na makaburu wa South africa huko Soweto huyu angechomwa moto kwa kuwekewa guruumu chakavu la gari shingoni!Peeeeaaapppllllllleeeeeeee!
 
images

kuvuliwa vyeo kwa zitto zuberi kabwe na dr kitila mkumbo kutakuwa na visingio vingi, ukweli ni kwamba
​
"ndani ya chadema akili ndogo inatawala akili kubwa" it is natural kwamba akili ndogo ikitawala akili kubwa,
1) yatatumika mabavu na nguvu nyingi kuizuia akili kubwa kupanda juu,
2) zitatafutwa sababu nyingi na visingizio uchwara kuhalalisha kuizima akili kubwa tofauti na vigezo vya hoja kwakuwa akili ndogo haiwezi kuizidi akili kubwa kwa hoja,
3) hutumika vitisho vingi kuzuia akili kubwa kuchukua hadhi yake
4) akili ndogo ni rafiki wa akili ndogo mwenzake, hivyo akili ndogo huzungukwa na akili ndogo kwakuwa ushauri wa akili kubwa akili ndogo hushindwa kutumia ama kushindwa kuonesha umiliki mbele za watu. Kwenye chadema wenye akili wote wako nje ya uzio wa chemichemi ya mawazo.

Pale bungeni watu wanaoweza kufundisha na waliokuwa wakifundisha hata unaibu waziri kivuli hawapati kwakuwa wanatumia akili zaidi badala ya nguvu.

Lakini walioishia kidato cha kwanza, pili, tatu na zero ndio think tanks na ndio majembe ya chadema kwakuwa wanatumia mabavu na manguvu zaidi kuliko akili sawasawa na matakwa mahitaji ya akili ndogo inayoongoza akili kubwa.

Vijana wahitimu wa vyuo wanaopenda siasa waliandikiwa barua kuwazuia kuhutubia mkutano wowote wa hadhara sawasawa na matakwa ya akili ndogo inapotawala akili kubwa. Zito, kitila, christowaja, matiko, opulukwa, baregu, leticia, selasini, arfi, akunay, naste wengi wao ma holders kwa chadema ni rejects. Ukiwa mwanafamilia au ukoo au kazi au wito maalum wa viongozi ndio utakwepo kwenye list.

I know zitto tangu tukiwa chuoni, he is a brilliant and consistent politician, namjua dr kitila tangu chuoni, he is resourceful. Hivi kosa walilofanya ni kubwa kuliko mchango wao waliofanya kwenye kuwajenga watanzania kuwaamini vijana kwenye siasa? Je kosa lao ni kubwa kuliko mchango wao unavyohitajika? Vijana tuko kazini na wakati huohuo tuko mafunzoni.

Sio adhabu nzuri ya kuwafukuza ama kuwaondoa kwenye fursa ya kujifunza zaidi.
haya ndio madhara ya akili ndogo kutawala akili kubwa, hofu ndio hutawala

haya ndio madhara ya kuwaingiza mamluki wa ccm ndani ya cdm period. Zzk anatumika ka manju wa kutumbuiza ngoma kwenye sherehe hana chaguo anacheza ngoma kulingana na matakwa ya mwenye sherehe akianza kuimba nyimbo nyingine zaidi ya tukio la sherehe ya leo ni lazima atimuliwe kabisa!
 
sasa kaka mwigulu chembahayakweli yanakuhusuau ndo unafiki wenu tuu.unakumbuka ahadimlizotoa kwa watanzania. siku tisini hazijafika mpaka leo kweli. mnawezaje kutoa kauli halafu mkashindwa kuisimamia? halafu wenzenu lro wanathubutu mnalialia, aaaah nadhan sio sawa hata kidogo hebutoeniboriti lililo kwenye macho yenu kwanza ndo muanze kuangalia yaliyokokwenye macho ya mwenzenu achen unafiki. unakumbuka ulivyofanya bungeni wakati zito amewasilisha bajeti kivuli unakumbuka ulichokifanya. kama kiliwasilishwa na mtu mwenye akili kubwa mbona ulifanya unafiki ule. usitufanye sie wapumbavu bwana. hebu kapumue kule ndo uje na misemo yako ya chabohiyo
 
aiseeeeee babayamgu ngoja nikalipie kadi yanga ya chadema kesho
 
Back
Top Bottom